Drones ni muhimu sana kuzima moto

Drones ni muhimu sana kuzima moto

Wewe ulishaona drone ikizima moto wapi? Kwangu mimi nimetembea sehemu nyingi duniani na nimeona idara za Zimamoto nchi mbali mbali hakuna wanaotumia drone!
Drone zina assist kwenye uokoaji pamoja na kutoa insight jinsi ya kupenya kwenye maeneo ambayo hayaonekani kirahis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazee wacha kukoroga tumbaku hapa. Mpaka sasa hakuna drone zenye uwezo wa kukabiliana na moto mkubwa! Umeshaona jengo limeshika moto kweli wewe? Unajua uwezo wa drones kwenye kubeba chemicals zinazotumika kuzima moto? Itazima moto gani drone? Uwezo wake ni mdogo kabisa. Tangu wengine msikie hile neno drone basi mmekariri tu bila hata kujua ni chombo cha aina gani hasa! Ghorofa limepemba moto haswa halafu uzime na drone? Hii biashara waliotaka kuifanya haina tofauti na ile ya Lowassa alitotaka kuleta kutoka Thailand ya kutengeneza mvua. Na kama ni drone za kupiga picha basi kwa taarifa yako madukani zimejea! Bei zake ni rahisi na hazifiki miliona tatu. Na hapa nazungumzia ile drone nzuri kabisa ya kupuiga picha!
We ni kilaza unajua drones za kupiga picha za harusi tuu. Dornes teknolojia ambayo inaweza kubeba vifaa hata vya ultra violet images ambazo zinaweza kutoa taswira ya movement za watu waliokwama kwenye majengo yenye moto au yaliyoporomoka. Wewe kwa macho huwezi kuona upande wa pili wa ukuta wa zege ila ultraviolet cameras zinaweza kupata images za viumbe wenye joto ambao wamenasa kwenye majengo na ku assist logistic za kuwafikia bila kupoteza kutafuta manually. Pia zinaweza kumount night vision cameras ambazo zinauwezo kuona kwenye giza na kusaidia watu waliokwama kwenye misitu au mapango gizani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo za kupåiga picha zinauzwa rahisi sana. Hata serikali ikimuamua kila wilaya iwe na yake inaweza kununua! Sasa hawa waliotumbuliwa walitaka kutumia zaidi ya trilion moja kununua huu upuuzi wakati gear zenyewe za kuzimia moto kama magari hatuna? Waweke nguvu kwenye magari, mafunzo na vitu vingine vya msingi kwanza.
Bwana wewe hakuna aliyesema drones zimenunuliwa kwa trillion 1, zimetajwa kama moja ya vitu vya kipumbavu huenda kuna vingine hatujui

Haya utawaeleza vilaza wenzako huko vijiweni. Siyo mimi ninayejua abc za drones na ambaye hata kabla wewe hujasikia hilo jina mimi nilikuwa nazichezea. Hao washamba wenzako walikuwa wanauziwa ujinga! Halafu ulivyo mtupu bado unazidi kuongelea upupu wa kuokoa watu walio kwenye jengo linaloungua kwa moto kwa kutumia drone! Halafu unathubutu kusema ultraviolent camera zinaweza kuona upande wa pili wa ukuta! Du hii fix ni kali. Niachane na wewe. Size yako ni vijiweni huko...
 
Teknolojia inaenda spidi kuliko wewe unavyowaza, acha kukariri.

Wewe umeshaziona hizo Drones? au ukisikia Drone akili inakupeleka tu kwenye hizo za kupigia picha?
Hilo jinga linakuambia drones limechezea sana na ni bei rahisi tu kamaliza. Angejua kuna drone ya marekani ilitumbuliwa iran moja tu ina thamani ya USD $100 million. Ila ukijibizana na jinga kama ili ni kama unalilipia shule ya bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana wewe hakuna aliyesema drones zimenunuliwa kwa trillion 1, zimetajwa kama moja ya vitu vya kipumbavu huenda kuna vingine hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo... kwa idara ya zimamoto ni upumbavu mtupu. Vya kuzimia moto na kuokolewa wanaoungua huna halafu unakimbilia kununua vyombo vya kuwaona? Ukishawaona ndiyo ufanyeje sasa?
 
Siyo tu nimeshaziona ila mimi ni mtumiaji mzuri wa drone. Na aina zote nina ujuzi wa kuzi-operate... multi-rotter, fixed wing. Kama ni picha nimepiga nazo sana. Possibly wewe hata kabla hujajua kuna kitu kinaitwa drone mimi nilikuwa nachezea vile vidogo vya kurusha ndani!
Sawa umeshachezea drones zote na unazijua zote duniani pimbi wewe. Hivi unajua drone moja ya marekani iliyotunguliwa iran ina thamani ya $100 million? Au babaako ni Jeff bezos? kenge wewe. Kabishane na kina hans cana na drones zenu za harusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa umeshachezea drones zote na unazijua zote duniani pimbi wewe. Hivi unajua drone moja ya marekani iliyotunguliwa iran ina thamani ya $100 million? Au babaako ni Jeff bezos? kenge wewe. Kabishane na kina hans cana na drones zenu za harusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rwanda wameanza kutumia drone kubebea dawa za kuulia mbu(lita 15) kwenda kupulizia mazalia ya mbu yaliyopo sehemu hatarishi/haifikiki kwa urahisi.

dodge
 
Ukiona matusi ujue ameshikwa pabaya. Eti utraviolet inapenya ukuta! Kama siyo porojo za vijiwe samli ni nini? Unajua properties zake wewe? Shule za siku hizi imekuwa kama watu wanalishwa ujinga na siyo elimu. Drone ya Marekani: Hizo ni drones za kijeshi na zinatumika kwenye mambo ya kijeshi na kwa vyovyote vile siyo hizo ambao vilaza wenzako walitaka kununua. kwa hiyo unataka uzitumie kwenye kuzimia moto ewe profesa instagram? Au labda ku-locate watu waliokwama kwenye jengo linalowaka moto 🙄 🙄! Kausha mazee! Na nakushauri usirudie tena hizo pumba sehemu yenye watu waelewa....
 
Tueleze basi ''profesa wa ultraviolet zinazopenya ukuta''.... ni mkataba wa nini na nini na nini na nini na nini!
The camera is a heat-sensor that registers different temperature levels and converts them into a film or video image. Most cameras use digital imaging, but some use chemical infrared film.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo za kupåiga picha zinauzwa rahisi sana. Hata serikali ikimuamua kila wilaya iwe na yake inaweza kununua! Sasa hawa waliotumbuliwa walitaka kutumia zaidi ya trilion moja kununua huu upuuzi wakati gear zenyewe za kuzimia moto kama magari hatuna? Waweke nguvu kwenye magari, mafunzo na vitu vingine vya msingi kwanza.

Kama hata wasomi tunaamua kupotosha basi
Drones za kupiga picha harusini ukatumie kwenye moto ; seriously
Wenzetu wanatumia drones kama ndege vita ... ndege za kuuwa nzige etc sisi tuna watu wanataka kuaminsha watu hata drone za wapiga picha zitafaaa

Noooooo

Ubakataaa budget yenye vifaa vyote kwa kutafuta item ambayo wasio na uelewa wataunga mkono ie drone ; lift ; kamera ( tumewahi ona bajeti ya Jengo moja inakataliwa kwa ajili ya eti kuna kamera) au uwanja wa parade ...tuhesimu standards za wataalamu
 
Hizo fedha zingweza kununua magari mangapi ya zimamoto??
Ni mara ngapi Wananchi+ Askari wa zimamoto wamelalamika kukosekana/ uchakavu wa magari + vifaa vya zimamoto??

Kwenye manunuzi kuna Kila kitu kuanzia mavazi maalum hadi magari maalum na ya operesheni control watu wanachagua item moja ya kuwadhalilisha watu ambayo kwa wananchi wa kawaida Wataona Wizi kwakua hawajui drone zaidi ya za kupiga picha
 
Rwanda wameanza kutumia drone kubebea dawa za kuulia mbu(lita 15) kwenda kupulizia mazalia ya mbu yaliyopo sehemu hatarishi/haifikiki kwa urahisi.

dodge

Rwanda ndio walianza kutumia hiyo technology kwa kusambaxa dawa
Sasa hata MSD miaka ya 2012 walianza kutumia kupeleka dawa kwenye visiwa hasa ukerewe na Sasa karibuni wanabeba hadi damu kupelekea wagonjwa wanaohitaji au kuchukua kuchango ya damu
Bado wajuaji Waimba sifa hapa wanataka kuaminisha watu application ya drone ni picha tu

Tuwe wakweli “ taulo ikianguka chutama” ; ukweli watu waliomzunguka wenye akili kama za wanaobisha upupu hapa wana mmislead Sana mpendwa Rais wetu
 
Kama hata wasomi tunaamua kupotosha basi
Drones za kupiga picha harusini ukatumie kwenye moto ; seriously
Wenzetu wanatumia drones kama ndege vita ... ndege za kuuwa nzige etc sisi tuna watu wanataka kuaminsha watu hata drone za wapiga picha zitafaaa

Noooooo

Ubakataaa budget yenye vifaa vyote kwa kutafuta item ambayo wasio na uelewa wataunga mkono ie drone ; lift ; kamera ( tumewahi ona bajeti ya Jengo moja inakataliwa kwa ajili ya eti kuna kamera) au uwanja wa parade ...tuhesimu standards za wataalamu
Hakuna drone za kuzima moto mkubwa! Narudia tena, hakuna drone za kuzima moto mkubwa!
 
The camera is a heat-sensor that registers different temperature levels and converts them into a film or video image. Most cameras use digital imaging, but some use chemical infrared film.

Sent using Jamii Forums mobile app
Profesa instagram nimekuuliza hivi: Ni nani alikufundisha kuwa infrared zinapenya ukuta? Hayo uli-copy na ku-paste wala usihangaike nayo. Hii ni field yangu nina uelewa mkubwa.
 
Hakuna drone za kuzima moto mkubwa! Narudia tena, hakuna drone za kuzima moto mkubwa!
Wewe mpiga picha za harusi usinichoshe na ulimbukeni wako, unajifanya eti umetumia drones zote duniani, ivyo vidubwasha vya kitoto unavyotumia kupiga picha kwenye harusi ndo unajiona umemaliza kila kitu duniani. Hebu kaa kimya
JMRRC-X-1100E-fire-extinguisher-throwing-fireball-drone-commercial-industrial-drone-flight-pl...jpeg
58897941-fire-fighting-drone-flying-in-the-sky-original-concept-design-3d-rendering-image-.jpeg
fire-fighting-drone-flying-in-the-sky-original-concept-design-3d-rendering-G3KHE3.jpeg
Nitrofirex-aircraft.jpeg
BEHA-FireFighting-01-Weblarge-696x464.jpeg
droneinflight_wide-65e5328fb058984929a63be27deeedbf9a45a4b3.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mpiga picha za harusi usinichoshe na ulimbukeni wako, unajifanya eti umetumia drones zote duniani, ivyo vidubwasha vya kitoto unavyotumia kupiga picha kwenye harusi ndo unajiona umemaliza kila kitu duniani. Hebu kaa kimyaView attachment 1339599View attachment 1339603View attachment 1339605View attachment 1339606View attachment 1339607View attachment 1339608

Sent using Jamii Forums mobile app
Akirudi kubisha hapa tena achana nae mkuu. Hajui drone huyo anakupotezea muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom