Recent content by The Nirvana

  1. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania M Kopa wapo Tanzania au nimetapeliwa

    Pole ndugu yangu. Ila naona wengi humu wana majibu magumu yanayoashiria maumivu waliyonayo mioyoni.
  2. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

    Eneo ninaloishi halotel wako vizuri sana kwenye meseji na kupiga. Ila data haishiki. Voda wapo vizuri kwenye data. Ila kupiga simu changamoto. Utalazimika tu kua nazo zote
  3. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Kamtukana sana ...ww ni mchovu tu uliyejaa umaskini unayehubiria wenzio utajiri kumbe nawe umejichokea tu.! ndio maana unalilia hizo 30,000 hapo ukipata malofa wenzio kama 30 tu hivi huko kwenye group whatssap tayari ushapata hiyo laki 9 bila jasho...
  4. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Hivi mwanaume unakua na mipasho kiasi hiki kisa tu mwanaume mwenzio anaelekea kujipatia kipato kupitia ujuzi wake... Yani unanuna kabisa na kumtukana juu kama vile unamfahamu saana! Mimi nadhani tukijijengea utaratibu wa kusapoti wenzetu tutaepuka sana msongo.
  5. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Body to body massage ikoje?

    Tatizo wageni hada kutoka Dar mnadhani nje ta Dar ni uswazi tu. Sasa Chief Asili ni uswazi? Kama ni uswazi hapo St Gaspar tupaitaje🥺
  6. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya saluni (vifaa/matumizi/faida)

    Inaweza kusaidia. Hakika
  7. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya saluni (vifaa/matumizi/faida)

    Mchanganuo uko vizuri sana na unaendana hasa na kitu nilichokifanya miaka kadhaa nyuma. Hapo niliongeza feni na subwoofer nikatoa kabati. Changamoto ni moja tu: Vinyozi ni vichwa vibovu haswaaa! Mbona nilifunga! Siku ukienda kunyoa unaona wateja wanapishana tu, usipokuwepo anasema hakunyoa.
  8. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Ninataka kufungua duka la vitabu (book shop) Nina 5M, naomba ushauri

    Mnajuaje kua halimi? Mnajuaje kua hana ofisi ya kubeti? Kuomba ushauri wa biashara fulani haimaanishi kua hana chochote cha kushika. Hata hivyo, mwacheni afanye kile anachokitaka na ashauriwe humo!!
  9. The Nirvana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Jirani na Mke/Mchepuko wake, Ulivyonigombanisha na Mke wangu

    Angekwenda yeye kama rahisi!
  10. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Maelezo yake yamenyooka vizuri sana. Sasa sijui huo wivu mnaodhani anao mnautolea wapi. Yani mko stressed kuliko yeye mwenyewe anayechunguliwa. Mkuu: usijali sana hawa watu hawakaagi nyumbani. Sanasana dada wa kazi na vitoto ambavyo vitakua floor ya chini. Tulia.
  11. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha uyoga

    Uzi mzuri sana lakini nimeupata kwa mbinde... Asante
  12. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makadirio ya kufanya skimming na kupaka rangi

    Sema wewe sasa realistic.
  13. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ipi dawa asilia na ya haraka ya kuondoa mipasuko unyayoni?

    Nilipata tatizo hili nilipohamia Dodoma kwa mara ya kwanza. Nilipata shida sana. Nilinunua dawa mbalimbali hasa za madukani bila mafanikio. Nikikuja kupona kirahisi sana kwa kununua mafuta ya wajasiliamali wa kibongo kutoka Kigoma. Yalitengenezwa kwa mawese. Huwezi amini nilipona ndani ya wiki...
  14. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

    Piriton. Nunua piriton tano/sita, zisage kisha zichanganye na mchuzi wa nyama au samaki robo kikombe. Akinywa atalala hapohapo. Mbebe kamtupe mbali sana kama huwezi kumla. -usiweke dawa nyingi sana au mchuzi kidogo sana atakereka na harufu, hatakula -mchuzi uwe sontojo la maana ili kupoza...
  15. The Nirvana

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wafanyakazi wa serikali wanazuiwa kufuga dread? Kama ndiyo ni kwanini?

    Kwa wanawake ruksa wakati wowote. Kwa wanaume kuna utaratibu unatakiwa kufuatwa ikiwa ni pamoja na kua na barua kutoka taasisi ya urasta uliyopo. Iko hivyo hata kwa wanafunzi. Baada ya hapo utatakiwa kuvaa kofia nyeupe uwapo kazini au shuleni kwa wanafunzi
Back
Top Bottom