Body to body massage ikoje?

Body to body massage ikoje?

Ningekuwekea hapa ila ban itanihusu. Body to body massage labda ME asiwe na nguvu za kiume vinginevyo kufanya mapenzi ni kama KAWA. Na wapenzi wengine hii wanaitumia kama foreplay vile kabla ya mlo kamili.
Duh sawa
 
Jaman nimekua nikisikia hizi aina za massage mara full body then four hands massage lakin hii Body to body ikoje na je ni lazima mfanye mapenzi baada ya massage au mapenzi ni sehemu ya hio masaage
Tafuta elf 60 nenda kule, hii ndo minimal, za watoto wakali andas 220. Usiulize sana itakachokutana nacho tuleyee mrejesho
 
Jaman nimekua nikisikia hizi aina za massage mara full body then four hands massage lakin hii Body to body ikoje na je ni lazima mfanye mapenzi baada ya massage au mapenzi ni sehemu ya hio masaage
body to body massage ni kwamba wewe mteja yaweza kuwa mwanaume au mwanamke,na mtoa huduma wako anaweza kuwa mwanaume au mwanamke.Sasa tuseme mteja ni mwanamke unavua nguo zote,na mtoa huduma ni mwanaume naye anavua nguo baada ya hapo mtoa huduma anakupaka mafuta mwili mzima na anaanza kukusugua mwiki mzima kwa mwili wake.hiyo ndio body to body
 
Back
Top Bottom