Msaada: Makadirio ya kufanya skimming na kupaka rangi

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
508
962
Wanajf Salaam!!

Ninaomba kujuzwa mahitaji na makadirio ya kufanya skimming na kupiga rangi nyumba ya vyumba vitatu vya kulala sitting na dinning room, jiko na stoo na choo/bafu public.

Kimsingi ni nyumba ya kawaida.

Makadirio yawe ktk mpangilio ufuatao:-

1.Mahitaji na gharama za skimming, pamoja na gharama za ufundi

2.Mahitaji na gharama za kupaka rangi, pamoja na gharama za ufundi.

Kwa waliofikia level hii ya ujenzi na hata mafundi tunaomba uzoefu wenu.
 
Mchek fundi mahiri na mwenye uweledi wa hali ya juu atakusaidia. Ujitambulishe vizur
0766150857
Daud Mlacha
 
Ndani.(skimming)
Gypsum powder.10 bags @18,000/

White emulsion paints 5 buckets @35,000/=

Mssasa 10 meters 2000/=

Masking tapes 5 rolls @3,000/=

latex premium 1 bucket @75,000/=(depend with brand)

Service charges 1,100,000/=

Ndani (painting)
Silk/wash and wear 2 buckets @145,000/= normal shades or @160,000/= special shades

Brushes and rollers 15,000/=

Maskin tapes 5 3000/=

Service charges 600,000/=

Nje (Skiming)
White cement 5 bags @30,000/=

White emulsion paint 4 buckets @35,000/=

latex premium 1 bucket @75,000/= (depend with brand)

service charges 600,000/=

Nje (painting)
silk/weather guard paints 2 buckets @145,000/=

Service charges 350,000/=

Kwa Kazi nzuri na ya uakika nicheki kupitia 0713553387 nikutumie, Kazi zetu, karibu
 
Last edited by a moderator:
Nitafute ninaye fundi bingwa anamalizia kazi yangu uje uione na uzungumze nae . He is a professional painter. Nipo Dar 0786741162
 
Ndani.(skimming)
Gypsum powder.10 bags @18,000/

White emulsion paints 5 buckets @35,000/=

Mssasa 10 meters 2000/=

Masking tapes 5 rolls @3,000/=

latex premium 1 bucket @75,000/=(depend with brand)

Service charges 1,100,000/=

Ndani (painting)
Silk/wash and wear 2 buckets @145,000/= normal shades or @160,000/= special shades

Brushes and rollers 15,000/=

Maskin tapes 5 3000/=

Service charges 600,000/=

Nje (Skiming)
White cement 5 bags @30,000/=

White emulsion paint 4 buckets @35,000/=

latex premium 1 bucket @75,000/= (depend with brand)

service charges 600,000/=

Nje (painting)
silk/weather guard paints 2 buckets @145,000/=

Service charges 350,000/=

Kwa Kazi nzuri na ya uakika nicheki kupitia 0713553387 nikutumie, Kazi zetu, karibu

mkuu hizi makadirio ni kwa nyumba ya ukubwa gani..?
 
Mkuu hauko serious.. white cement 5!! Plaster ikoje hiyo!! Jaribu kuwa realistic
 
mkuu hizi makadirio ni kwa nyumba ya ukubwa gani..?

shaman, nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, toilet/bathroom, jiko na stoo. Nyumba ya vyumba hivyo, mara nyingi ukubwa wake huwa hauzidi 14*12,yaani square metres 168
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom