Recent content by THE NEXT DON

  1. T

    JamiiForums Tanzania Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

    Aj Ajira 😅😅😅
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kwamba Ugali uliletwa na mabeberu Afrika? Ugali sio chakula asilia

    Ni kama unasema Ugali na Mahindi ni kitu kimoja. Japo unajua kuwa Ugali si lazima uwe wa Mahindi. Hoja yako bado ni dhaifu sana tu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinaniuma kama watu kuendelea kuamini kuwa kuna uchawi hapa ulimwenguni

    Hoja dhaifu sana katika hili bandiko lako. Jaribu kueleza japo kidogo msimamo wa mawazo haya unatokana na nadharia gani (From which school of thought).
  4. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Mbona umeandika harakaharaka sana? Hebu tulia na uhariri bandiko lako!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe za ndege zimeishia wapi?

    Tukubali au tukatae, uwekezaji huu wa kununua midege kwa Cash ulikuwa wa kiboya sana
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya Kisarawe leo 28th June 2020. Kila kitu kilipangwa

    Tabutupu, Mbona hauna hoja yenye mashiko sasa. Just mere speculations. Next time jipange!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

    masare, Wasukuma & Waikizu wawe same tribe group? Fake news!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kutunga sheria ya mahabusu kufanyishwa kazi, Mungu anawaona malipo ni hapa hapa Duniani

    Guilty Until Proved Innocent 😂😂😂
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, muapishe upya Waziri wako. Kuna siku mahakama itabatilisha maamuzi yake

    Ni upumbavu na ujinga pia kufikiri/kudhani kuwa Rais/Waziri anaweza kuapishwa mahali popote! Iko siku viongozi hawa wataapishwa chumbani na kuletewa taarifa kuwa aliapishwa Guest 🏠, Room No. 13. Siku hiyo ndo utajua jambo la kitaifa kama hili haliweze kufanyika hovyo hovyo na mahali popote...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rwanda yafanikiwa kupata bandari kavu Kenya

    Hata Adolf Hitler pia aliwahi kuwa na mawazo kama haya. Andika hiyo kwenye shajala.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnamkomalia Mwambe peke yake?

    Jaribu kutumia akili japo kidogo basi!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais angalau awe ameshakuwa Waziri wa Mambo ya Nje au Balozi; kwa hili Nyerere aliona mbali

    Kwa hiyo unamaanisha kuwa wa TZ wengi ni Wapumbavu? Haiwezi kuwa hivyo hata siku moja!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    Nani kakwambia kuwa hii si Siasa? Don't be miopic brother. This is typically politics. Na ndo maana politicians wakiulizwa kutaja achievements zao hawaachi kutaja SGR!
Back
Top Bottom