THE NEXT DON
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 307
- 302
Ni kama unasema Ugali na Mahindi ni kitu kimoja. Japo unajua kuwa Ugali si lazima uwe wa Mahindi. Hoja yako bado ni dhaifu sana tu.Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.
Piga ua utacheza ngoma ya mabeberu tu
Hivi unajua kwamba Ugali uliletwa na mabeberu Afrika?
Someni mahindi waliintroduce kina nani.
Ndio maana ugali umegandisha akili zetu waafrica ugali sio chakula asilia kabisa sio chakula asilia.
Utasikia watu wakiwacheka wasiokula ugali kwamba eti hawana nguvu.....Wakati ukila ugali ndo mbaya zaidi...ndo maana Africa tumeshindwa kuchangamsha bongo zetu kwasababu ya ugali.
Usikute ndo maana hatujui kufikirisha bongo zetu maana before haijawa introduced africa ilikua vizuri sana tulikua tunanyanyuka kwa kasi lakini toka watu waanze kula mhh!ugali sio nzuri hata kidogo.
Utasikia mtu akitamba kwamba yeye ni mwafrika asilia ndo maana anakula ugali na akiona watu wa mabara mengine wasiokula ugali kama watu dhaifu na legelege wewe nani kakuambia?ugali ni product ya mabeberu sio chakula cha asili.