Hamna kitu kinaniuma kama watu kuendelea kuamini kuwa kuna uchawi hapa ulimwenguni

Hulazimishwi kuamini maana sio usichokiona wew ndo hakipo ktk dunia vitabu vya dini vimeongelea mpk sayansi inajua
 
Mwamposya,Mwacha na Malissa mahubiri yao yote ni vita na wachawi na mashetani hewa huku wakipiga hela ndeeefu.
 
Hata wanasayansi wenyewe wanajua kuwa uchawi upo na wanauogopa ndio maana wanakesha wakimuomba Mungu awalinde na vituko vya shetani.
Ipo siku utakuja hapa kuelezea uloyashuhudia,
 
Sijui ni uwoga na hofu sijui ni ujinga na kukosa maarifa sijui ni kutomuamini MUNGU sijui kwa kweli shida si nini hasa mpaka mtu anashidwa kujua kanuni zinazoongoza ulimwengu mpaka sasa hivi.

Iko hivi sio uchawi tu hata shetani yenyewe hakuna hiko kitu isipokuwa Kuna UJINGA basi.ukitaka kuamini hakuna uchawi chukua Watu 10000 wakalishe chini waambie wakuelezee matatizo yao makubwa mawili yanayowasumbua,wote watakwambia ni magonjwa na umaskini yaani hawana hela hakuna hata mmoja ambaye atakwambia Kuna mtu anamloga usiku pengine anamsumbua usiku au anamchezea hizo waga Ni stori tu za kijiweni.

Nakuhakikishia mpaka unakufa hutakuja kuona mtu anapotea,mtu anaruka na ungo n.k

Kila jambo lina jibu lake tayari ukifa unapimwa Kama ulikufa kwa pressure tunakwambia kabisa kwa hiyo hizo stori za sijui kafa alikuwa mzima zinabakia mdomoni na masikioni kwa wajinga.

Kuna tofauti ati ya unachokiona na unachokisikia
Biblia unasomaga?
 
Hoja dhaifu sana katika hili bandiko lako. Jaribu kueleza japo kidogo msimamo wa mawazo haya unatokana na nadharia gani (From which school of thought).
 
Back
Top Bottom