Recent content by the muter

  1. T

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumtolea mtu figo

    Naomba kujua madhara ya kumtolea mtu figo na tahadhari gan mtu anapaswa kuchukua kabla na bahati ya kumtolea mtu figo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya uchawi yapo kweli au ni tatizo la watu kukosa elimu na kuamini mazingaombwe ? kila nikiomba ushahidi ni stori za vijiweni bila ushahidi

    Nadhan hapa kuna watu tunapishana umri ama mazingira tuliyoyapitia hivyo kwa wengine inakua ngumu Sana kwao kuamin uchawi. Ila kuna maeneo ukifika kusikia mchanga unarushwa juu ya bati, kusikia Ngoma nje, kusikia hatua za watu juu ya bati, watu kuua fisi wakakuta ana shangani mambo ya kawaida...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya uchawi yapo kweli au ni tatizo la watu kukosa elimu na kuamini mazingaombwe ? kila nikiomba ushahidi ni stori za vijiweni bila ushahidi

    Hujanielewa nmekwambia kwa utafit wangu, wakichungulia mechi wakakupa matokeo ni sahihi ila ma chache Sana wakaroga kupindua matokeo na wakafanikiwa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya uchawi yapo kweli au ni tatizo la watu kukosa elimu na kuamini mazingaombwe ? kila nikiomba ushahidi ni stori za vijiweni bila ushahidi

    Mimi nmeishi Sana DSM na Dodoma kimsingi sikuwahi kuona uchawi na story za kutunga Tu, Kazi nkaenda kufanya kanda ya ziwa, nmefika huku ndio nikaamin uchawi upo. Wasukuma Wana tiba ya kuunga mfupa uliovunjika na mtaalam anaunga bila kushika miguu au sehem ilovunjika maana Wanasema akigusa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mzazi kutozwa Sh Laki 5 hadi Milioni 5 ili kupata uhamisho wa Mwanafunzi ni sahihi?

    Je unajua kama bajeti ya mtoto ikishaelekezwa shule flan kwa mwaka wa fedha inaendelea huko mpaka mwaka ujao WA fedha? Unapomwamisha bajeti yake inatoka wap? Kama shule ni nzuri inakimbiliwa na watu wengi lazima waweke utaratibu kwajil ya bajeti ya mtoto katika kipindi hicho
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mtoto sio wangu

    Mwaka 2011 nilipata mtoto wa kiume katika mazingira yanayotaka kufanana na yako, nikaona nimsubiri mtoto afukishe miaka kama Mitano nikapime badaye ila badaye nilajiuliza VIP mtoto nikipima mtoto akawa wangu na akaja kujua kama niliwah kumpima DNA, na asipokuaa wa kwangu nitapeleka wap, kwan...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

    Bila Shaka ulishafanikiwa mkuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

    Ila hii nchi ina wajuaji , siasa wanazijua, mpira wanaujua, ualimu wanaujua Yan mtu mmoja ana taaluma zote. Tujifunze kuheshimu taaluma za watu, naamin Kila taaluma ina taratibu zake na kutofata utaratibu au miongozo kuna utaratibu wa kuchukuliwa hatua
  9. T

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

    Utaratibu wa serikali mchango ya wazazi lazima waitishwe kikao, waridhie na wachague mtu wa kutunza hela na kusimama utoaj wa chakula, labda ww hua hauudhuriii vikao
  10. T

    JamiiForums Tanzania Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Kiufundi wachezaji Tom boy Wana nguvu na Kasi Karibiana na wanaume, hivyo ni rahisi kuwaandaa na kupata soko lao. Hivyo Kila mwenye Akademy ya wanawake anatafuta watu wa hivyo . Kulikua na mwanariadha S Africa mpaka na Hili striker letu Clara luvanga walishalalamikiwa kuwa na wanaume mpka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono mashuleni inalelewa na kukuzwa na wahadhiri wenyewe na si wanafunzi

    Nilienda chuo na demu wangu, kufika Tu Registrar akachukua namba kwenye file akaanza kumtongoza, tumekaa kama wiki mbili kuna lecturer akaanza kumtongoza alikua ndo coordinator wa kozi anayosoma, anamuahid hatafeli somo lolote, akiona somo gumu ampe taarifa. Nikaona huyu demu atakuja kunipa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

    Kwan amekwambia anataka kugombea?
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona kama mke ananikwamisha

    Kwasabab anakula hapati picha halisi unavyohangaika, inabid ck nyingine usipeleke kitu mlale njaa ndo akili utakuja Mchunguze mawasiliano yake hasa siku unapokua umemshrikisha jambo zito, unaweza kuta kuna mtu anawasiliana naye kwa zaid ya DK 10, rafiki Ake au ndugu. Huyo ndo anambadili mawazo
Back
Top Bottom