Msimu mzuri sana kwa Gomez, ni ule wa 2018/2019. 1st round ya ligi kwenye mechi kama ya 15/16 hivi, aliumia December mwanzoni hivi, fractured leg , ilikuwa vs Burnley. Mpaka anaumia tulikuwa tumeruhusu goli 4/5 hivi. Ilikuwa partnership nzuri sana. Alipoumia hakurejea kwenye ubora. Kidogo msimu...