Aiseee
Hongera ila kwa miaka hii miwili biashara ya mpunga na mchele sio nzuri sana ukilinganisha miaka ya nyuma, kila kona ya nchi mpunga na mchele upo kwa wingi na mipaka nadhani bado haijafunguliwa ili kuwauzia majirani.
Zaidi biashara iko slow sana labda miezi ya january na february 19
Alicho fanya ni sahihi kabisaaaaa Kwa hulka yake...
Kutegemea jipya Kwa mtu kama makonda mwenye ulakini wa Elimu yake tu, kwa Walimu angechafua hali ya hewa zaidi..
Hii ndo " Haki sawa kwa wote" ... ..
Wafanyakazi wa umma na wengneo wanalipa kodi bila kukosa na wanalipa kwelikweli hakuna pa kutorokea..
Kwa hili la kodi wote lazima tuwe upande wa serikali, kila mtu alipe kodi kwa mujibu wa sheria.. hakuna kuonewa bali kulipa kodi..
Post sent using...
Siku tukijua uongozi na kiongozi sio vitisho wala ubabe tutakuwa tumechelewa sana........... Kiongozi mzuri ni yule apigae kazi bila kujali kelele za vyura!
Anyway tuko transition period kutoka 4th regime to 5th one... TZ yetu sote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.