Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Wapi kasema kapewa Na wazazi? Kapewa Na dady Na mamyKasaidiwa na wazazi wake ...pongezi kwa wazazi.
Wapi kasema kapewa Na wazazi? Kapewa Na dady Na mamyKasaidiwa na wazazi wake ...pongezi kwa wazazi.
Kwa hisani ya Dad an mom!Wapi kasema kapewa Na wazazi? Kapewa Na dady Na mamy
Wazee wa forex njooni mumuone dogo anayefanya real business na sio yule ontario,hahah
Hahahaha usimfananishe Ontirio na vitu vya kijinga
Teh teh dogo tulia,usije ukapata hela kwa ile biashara yako ya kuuza baiskeli then ukaipeleka kwny Forex,your're done my friend
Tangu mwanzo huyo alkua na maisha mazuri ktk familia yaoNilikuwa kwenye Youtube channel ya Millard Ayo nikakutana na stori ya kijana mmoja kwa jina Scott ambaye ni Mtanzania,aliyefungua biashara ya restaurant ya Pizza na ikanivutia kuangalia video hiyo..
Kwenye maelezo yake amesema alikuwa na lengo la kuwa na biashara yake kabla hajafikisha umri wa miaka 20+..
Alianza kusave fedha ambazo nyingine alikuwa akilipwa na mama yake alipokuwa anamsaidia katika kazi zake..
Pia aliuza gari aina ya Toyota Altezza aliyopewa zawadi na baba yake ili aongezee kwenye mtaji huku pia akiomba backup kutoka kwenye familia yake..
Katika maelezo yake nikagundua huyu kijana pongezi ninazoweza kumpa ni kuwa na idea ya biashara na kuishi katika ndoto zake and nothing else..maana inaonyesha familia yake iko vizuri,kwahiyo suala la mtaji sio big deal sana..
Wakuu katika jukwaa hili mnalipi la kuongea kuhusu kijana huyu na je biashara ni kweli inaanzia kwenye idea au both idea na mtaji vinaitajika ila kuanzisha biashara??
Ukiangalia na kusikiliza clip utaelewa!Hahahah wabongo bwana, mpeni credits zake tu mazee. Mi sijamfuatilia ila wacha nitaangalia hio clip yake nimskilize. Ila pizza na million 75+ ndipo ambapo sioni connection ya moja kwa moja. Ama amejenga hio ofisi kwa pesa hizo hizo from scratch maana navojua biashara huwa tunakodi majengo!
Endelea kulalamika hivyo hivyo, kama kulalamika kuliwahi kumletea mtu maendeleo!Vitoto vya kibepari.Hakuna kipya hapo,ukiona kuna tajiri ujue kuna maskini anayemnyonya.
Halafu utasikia wajinga wachache watakwambia vijana waige mf wa scot.
Mfumo mbovu utaendelea kutengeneza tabaka tawala na tabaka tawaliwa.Wakati huyu anapewa Alteza ya kutembelea mwanafunzi wa kisarawe hana hata uniform za shule.
Hahaha, ulitaka na yeye ahenye kutafuta mtaji ndio umsifie ?? Hahaha mkuu hata kuwa na akili ya kuwaomba wazaz wake mtaji wa kufanya ujasiriamali inatosha. Kama unamkubali mkubali kwa kila kitu usinungu' nike kwa sabab dogo hajahangaika kama ww kufanya kaz za watu ili apate mtajiNdo maana mimi nikasema nampongeza kwa kuwa na idea na uthubutu wa biashara..ila kwenye jinsi alivyopata mtaji No