Umewahi kutembelea familia yenye toto lililodekezwa?!

English ni nzuri ila dah kuna familiya moja mambo safi wanapenda kunipa order niwafanyie kitu Fulani, sasa hiyo familiya watoto wako wawil wanasoma shule moja matata hapa mjini.

Wakiwa nyumbani ni full English, wafanyakazi, ni wale kolomije group wanajua yes/ no tu sasa majibizano humo ndani mm sina mbavuuuuuuuuuuu,

Hope mmepata picha sitaki kusimulia zaidi. maana hiyo kazi naifanya almost Siku nzima sasa nikitokaga pale napitia pain killers maana Siku nzima nacheka.

Kuna Siku moja nilivi record, Siku nikiwa na stress nasikiliza.

Nyumba hiyo INA wafanyakazi watatu wawili wa kike mmoja wa kiume kazi yake ni Usafi wa.mazingira, jina lake focus/fokas

Sasa Siku moja nipo naendelea na kazi mle ndani Mara wale watoto.wanagombania kijiko na huma vikaanza, dadaaaaaaaaaa I need to use a spoon, kingine daaaaada I need a fork eeheeeeee Mara mfanyakazi kakimbia kumuita foka yule mfanyakazi, yaaan ni full comedy.

Ila watoto kiingereza wanajua ni majibizano na wafanyakazi
Alaa kumbe ndio wewe mdada mfupi hivi unaendaga kufua nguo kwa Mzee wangu ndio maana siku ile weekend nilipokuja kuwasalimu wazee mshua akanitambulisha wale wafanyakazi wa ndani pia akanambia kuwa wewe huwa unakuja kila weekend kufua nguo na kunyoosha na unalipwa kwa siku.
Nimefurahi sana kupata id yako Jf ngoja nije Pm nikunong'oneze maana pale kwa mzee huwa nikija nakosa nafasi ya kukwambia.!
 
Mimi yalinikuta nilikwenda kumtmbelea jamaa ya ngu docta wakati huo mi askari wa trafic mwanza Wakati nimeacha kofia yao trafiki sebureni lile toto likachukua kofia na kwenda nayo nje huku limeivaa we bwana,wenzake kuona wakaichukua na kuanza kuigiza kama wanasimamisha magari ,dah sitaki kukumbuka ila tukaanza msako tulipo mpata tukaanza kubembeleza arudishe likagoma mwisho likasema sitoi kofia hadi mnipe hela,ah mama ya hilo toto akanitaka nitoe hela kwa shingo upande nikatoa badala ya kunipa kofia likaitupa huko nikaenda kuiokota imkuwa nyeusiii jamani naona niishir hapo kwani najisikia vibaya sana .hapo ni kwa kifupi
Sintasahau.uuuuwi jamaniii.
Huyo dogo hajawahi kalipiwa
 
Nilishakosana na sistaangu kwa mambo ya kipuuzi kama haya mtoto anadekezwa sana toto lipo darasa la tano wenyewe wanaita standadi faivu bado linashindwa kutoka usiku kwenda kujisaidia na choo kipo ndani. Siku hiyo nilienda kwa sista nikawa nimelala na hilo toto ni la kiume eti linaambiwa kakojoe kabisa ndio ukalale nilishangaa sasa kwa ujeuri wake halikwenda likalala bila kukojoa eti usiku linaniamsha Ankali.. Ankaliii... Ankaliiii amkaaa niko na wenge la usingizi nikamuuliza vipi eti linaniambia nilipeleke chooni limebanwa na mkojo pumbavu nikaliweka kofi moja tu na kilio kikaanza nikavuta shuka nikalala asubuhi nalikuta limelala kwenye busati pale chumbani isitoshe limejikojolea niliwaka sana mpaka tukagombana na sista.

Eti Ankalii nipeleke chooni... Pumbavu na choo kipo ndani shwaini kabisa.
Haaahaaaa hii comment mbavu zangu

Simara
 
Dah.. Mi na mtoto wa sista yule ni nunda mabazi piga sana ila haogopi wala nini
 
Ukiona hivyo ujue wazazi wamepata mtoto kwa nipige tafu ya doctor mwaka sasa wanaogopa msumbua wakiamini wakipiga mtoto au kumkanya doctor mwaka atamfuata mtoto
 
Nilishakosana na sistaangu kwa mambo ya kipuuzi kama haya mtoto anadekezwa sana toto lipo darasa la tano wenyewe wanaita standadi faivu bado linashindwa kutoka usiku kwenda kujisaidia na choo kipo ndani. Siku hiyo nilienda kwa sista nikawa nimelala na hilo toto ni la kiume eti linaambiwa kakojoe kabisa ndio ukalale nilishangaa sasa kwa ujeuri wake halikwenda likalala bila kukojoa eti usiku linaniamsha Ankali.. Ankaliii... Ankaliiii amkaaa niko na wenge la usingizi nikamuuliza vipi eti linaniambia nilipeleke chooni limebanwa na mkojo pumbavu nikaliweka kofi moja tu na kilio kikaanza nikavuta shuka nikalala asubuhi nalikuta limelala kwenye busati pale chumbani isitoshe limejikojolea niliwaka sana mpaka tukagombana na sista.

Eti Ankalii nipeleke chooni... Pumbavu na choo kipo ndani shwaini kabisa.
Ankali bana , ila hii mitoto ya digital shida, kuna huyo Dogo yeye akiona wageni hatulii ,Mara akurukie mwilini, Mara achukue simu acheze game, dah ngoja siku ntamnyoosha kama Junia
 
Haki ungekuwepo leo ungesikia kichefuchefu ...kina miaka minne kasoro hivi cha kiume!

Yaan baba na mamaake wamekaa na mimi row moja na 'juniya' kapachikwa katikati yangu ...mara awanase vibao wazazi wake, kuna mda kampiga babaake kwenzi kwa nguvu eti jamaa anachekelea tu ....sasa akanigeukia mimi ( kumbuka hapo nishamkinai coz alinikanyaga mara kibao halafu kimakusudi mi kimya) akaanza kunivuta nywele weee nimekakamata huo mkono nikakageuza kwangu nikakafinya matako mpakaa....wazazi wake wametoa macho .....
, safi sana nadhani after kifinyo hicho kalitulia kimyaa na wazazi wake wakapata nafuu , junia alikuona you are veri badiii
 
Haki ungekuwepo leo ungesikia kichefuchefu ...kina miaka minne kasoro hivi cha kiume!

Yaan baba na mamaake wamekaa na mimi row moja na 'juniya' kapachikwa katikati yangu ...mara awanase vibao wazazi wake, kuna mda kampiga babaake kwenzi kwa nguvu eti jamaa anachekelea tu ....sasa akanigeukia mimi ( kumbuka hapo nishamkinai coz alinikanyaga mara kibao halafu kimakusudi mi kimya) akaanza kunivuta nywele weee nimekakamata huo mkono nikakageuza kwangu nikakafinya matako mpakaa....wazazi wake wametoa macho .....
Hahahaha,km nakuona.Sipendi mitoto isiyoogopa watu.
 
Ukija huku usijaribu.. Mi huwa nacheka tuu hizi kasheshe za hawa watoto.. Tena sasa balaa kulea watoto in public place ni kazi ya baba.. Basi baba anapata shida nyingi
Wa huko wanawalea vizuri bana....mi na wazungu mabest zangu wana watoto wana heshima balaa...tatizo watoto wa kiafrica sijui nini shida
 
Back
Top Bottom