Sasa usifananishe mfumo uliopo kwao na ulionao wewe asilimia 80 bado unawategemea wazungu kwenye kufanikisha mambo hata yale madogo tu leo unataka tuwaze mambo ya satelite
Tujifunze hata kutengeneza taa basi au kiwanda cha tochi tu cha TANZANIA
Kijana kama uko shule basi chagua mawili kusoma sana uje ili upunguze muda wa kuja kuteseka huku kwa ground au uache shule uje uteseke na sisi huku ground ujitengenezee life mapema
Ukiwa shule na ukawa na mawazo kama hayo tunaita ni elimu imekolea kwa kichwa hata ukimwambia baba yako utamuona...
Majina ni ya kwako cv ni za kwako nani akuzuie andika mpaka orodha ya wana ukoo mzee baba mpaka shule ulizosoma halafu siku ukianza kufuatiliwa ndo utaelewa nini maana SIRI
Mambo mengine unatakiwa uyaache chini ya kapeti sio kila kitu unatoa hadharani
Je huo uzi ukishauandika nani atauiba...
+255 625 683 061
Mcheki huyu jamaa hapa hutojutia na anamiliki hosting mwenyewe so usimamizi wa kazi yako nzima atausimamia mwenyewe endapo utachukua na hosting kwake nimefanya naye kazi nyingi na za wateja wengi ni very professional
hebu anzia youtube kuchukua tutoria ndogo ndogo jifunze pia kufanya mesh kufanya scketching pia mimi nilitumia blender 2018 ila niliacha kwa sababu mashine yangu ilianza kusumbua betrii maana iliua kabisa betrii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.