Recent content by the loaded

  1. the loaded

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    WAZO MUJARABU HILI. SPEAR TYRE MUHIMU SANA KWENYE HII SAFARI YENYE ROUGH ROAD.
  2. the loaded

    SMZ yaridhia Taasisi zake kutoa likizo za lazima ili kupunguza misongamano. RC Makonda apiga marufuku wazururaji Dar es Salaam

    If is a man, then you are safe, bt if is a woman ther are TWO THINGS involved.
  3. the loaded

    SMZ yaridhia Taasisi zake kutoa likizo za lazima ili kupunguza misongamano. RC Makonda apiga marufuku wazururaji Dar es Salaam

    jana aliongea kama BASHITE, leo ameongea kama DAUD, sasa bado hajaongea kama PAULO na MAKONDA.
  4. the loaded

    Gwajima sio wa kupuuzwa, ushauri wake kuhusu Corona umenitetemesha leo

    Mkuu naomba connection ya hido code N.W.O
  5. the loaded

    Nyimbo zenye ujumbe mzito sana

    Huyo jamaa nilimwelewa sana kwenye wimbo wake wa KANISA
  6. the loaded

    Kosa la Magufuli ni lipi? Mbona huyu naye kapiga?

    Watu kama nyie ndo mnaongeza idadi ya kejeli na matusi dhidi yake. sasa hapo unaonda kabisa Putini yupo kwenye field, au mazoezi hata kama itakua ni sehemu yake ya mapumziko, uwezi fananisha na huyu wa kwetu anayeatamia mawe yatotoe vifaranga.
  7. the loaded

    Huu wimbo na kaimba?

    Hiyo ni Bi. Cheka ft Mh. temba
  8. the loaded

    Jana nimetoa kipigo heavy kwa wajeda wawili, nipo nasubiri wajisombe tena waje!

    Huyo watakuwa walimtwika kichupa cha serengeti lite, angekutan na mziki wa AMARULA, sahv thread ingekua imejaa R.I.P au inna lilaih...
  9. the loaded

    Hivi ukiulizwa kwanini unaoa kwa karne hii utajibu nini?

    unamaanisha na yeye ni mla nyasi, no i mean gwatamala? Ahahaha aisee baharia mrudia muumba wako.
  10. the loaded

    Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

    unamaanisha jibu linalokuja la kwanza
  11. the loaded

    Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

    "KUMBUKA HASI INA NGUVU KULIKO CHANYA" now i get the answer!
  12. the loaded

    Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    binafsi hunitokea hasa pale ninapokua nipo kwenye mtanzuko wa kitu au jambo flani. najikuta najiuliza swali na majibu yanakua zaidi ya mawili. ila huwa sijui ni kwanini?
  13. the loaded

    Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    nimejikuta nawaza kitu pia kioo pia kinaweza kua kimebeba siri ya mtazaji?
  14. the loaded

    Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    u mean the talk within...!?
Back
Top Bottom