Recent content by The Honest One

  1. The Honest One

    Nilivyomshauri rafiki yangu aliyeachwa na mpenzi wake

    Atakuwa ni mwalimu huyo au askari
  2. The Honest One

    Fursa Zipo Nyingi , Vijana Tuchangamkeni

    Niunganishe nae aisee tupige kazi.
  3. The Honest One

    Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Huwa wanafundishwa ujinga sana eti wenyewe ndo wenye nchi huku mfukoni hawana hata buku.
  4. The Honest One

    Chuo cha takwimu changanyikeni

    Itakuwa hawataki watu wakijue so wasomi wa hiyo fani wanakuwa wachache hivyo wanaongizana wenyewe na watoto wao ni kama vilivyo vyuo vya misitu,hali ya hewa na madini. Hivyo vyuo havijulikani kwa wahitimu mashuleni hata kwenye selform havipo.
  5. The Honest One

    Ajira kizungumkuti, watu 120,000 wawania nafasi 9,675 zilizotangazwa na Serikali

    Kama serikali ingekubali ushauri wangu wangewatambua kwanza ambao wana ajira taasisi binafsi ungeona ambao hawana ajira kabisa walivyo wachache.
  6. The Honest One

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mwanza ni jiji la hovyo watu wanajenga kiholela hakuna mipango miji kabisa.
  7. The Honest One

    Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

    Ameponzwa na akina Abbasi na CCM
  8. The Honest One

    Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

    Hii petition inapatikanaje na mimi nisaini?
  9. The Honest One

    Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

    Unaweza kuta hata papuchi kawapa kabisa ili atimize lengo lake. Ulimaliza hii kesi achana nae kabisa.
  10. The Honest One

    Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

    Ukimaliza huo msala achana nae kabisa huyo ni shetani,siku nyingine atakutendea baya zaidi
  11. The Honest One

    Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Labda kwenye suala la nyumba za kupanga naona Dar ni ghali sana wakati mikoani ni nafuu.
  12. The Honest One

    Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    Gharama za uendeshaji National Park ni kubwa sana kuliko gharama za kuendesha Game Reserve. Lile pori lilikuwa Game revserve hivyo linaweza kurejeshwa huko ili kusave pesa za uendeshaji kama National Park.
  13. The Honest One

    Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    Jamani si tulishakubaliana Chato ndo kitovu cha Utalii iweje tena hakuna faida inayopatikana?
  14. The Honest One

    Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    Watu wameanza restore factory za ubongo wao
  15. The Honest One

    Mwanafunzi avaa mabango na kukaa barabarani akipinga kuchaguliwa masomo ya ECA ambayo hajayasomea

    Uende chuo anachotaka akasome uombe nafasi maana kuna madogo waliochaguliwa hivyo vyuo hawataenda hivyo nafasi zinakuwepo baadae kikubwa ni kukomaa na uongozi wa hivyo vyuo. Mwanzoni atakilipia ada ila baadae anaweza kupewa rukuzu.
Back
Top Bottom