Fursa Zipo Nyingi , Vijana Tuchangamkeni

Duh kuna jamaa yangu kila siku ananiambia sogea Zambia na Malawi hapo utapiga pesa balaa! Changamoto usimamizi wa nitakavyoacha huku nyuma 😇😇
Hilo zambia au malawi, weka wazi fursa zenyewe watu tupate chochote toka kwako tujazie na kwawengineo sahani ienee mchanganyiko wa matunda
 
Hilo zambia au malawi, weka wazi fursa zenyewe watu tupate chochote toka kwako tujazie na kwawengineo sahani ienee mchanganyiko wa matunda
Huyu alienambia hivi ana ofisi Tz,Zambia na Malawi. Ni mteja wangu ndio huwa ananiambia hii biashara yako ukifungua Malawi na Zambia utapiga hela sana. Na ni kweli huwa napata few orders from Zambia na Malawi.
 
kwa pale nakonde unaweza jisogeza na issue gani kwa mfano mimi nilikuwa kule mwezi wa tatu nikavutiwa na biashara ya mchele kupeleka zambia kwa tren ya Tazara naona ni nafuu kiasi
 
Wanakuja ngoja wamalize kusoma umbeya wa SAIDI BAGAILE ( HK)
 
Kununua IST na kujenga nyumba ya Room 2, brother hiyo ni step kubwa sana kwenye maisha kama kijana.Usidharau
Anachosema mtoa mada ni kwamba baada ya hako ka hatua wengi hujisahau na kuridhika. Wanaanza kula bata wakidhani wametoboa kumbe wametoboka.
 
Mshkaj wangu alienda South Sudan kujaribi tu km atapata tender yoyote. Aisee alipewa order ya mchele maelfu ya matani ,kaz ambayo hakua na uwezo/mtaji wakuifanya tena alienda tu km trial ,alivorudi akanyoosha mikono nakukir kua kwel fursa tunazo. Hivi mna habari kwamba watu wanatoka South Africa wanaenda kununua vitunguu swaum Manyara?? Kuna mzungu wa Sweden anakuja bongo kununua viungo kama karafuu, mdalasini etc anapeleka Sweden. Wakenya wananunua mahindi yetu apa tunawashangilia ila wanasaga unga wanapeleka Sudan wanapiga hela mara 2 .
 
Niunganishe nae aisee tupige kazi.
 
Siku hizi treni hiyo haivuki boda kutokana na mambo ya Covid.
Pamoja na mambo mengine pia, ni kwamba usafiri wa Tazara sio wa kuaminika sana hasa katika mizigo. Uendeshaji wao sio mzuri. Nimeona nikutahadharishe mapema, wiki iliyopita nimesafiri na treni hiyo kutoka Dar kwenda Mbeya na katika stori na miongoni wafanyakazi wa shirika hilo alitanabaisha kwa kina. Case study ilikua ni Mbeya Cement kwanini walishindwana na TAZARA katika kusafirisha mizigo yao na kuamua kutumia malori.

NB: Hii ni tahadhari tu na wala si kukukatisha tamaa.

kwa pale nakonde unaweza jisogeza na issue gani kwa mfano mimi nilikuwa kule mwezi wa tatu nikavutiwa na biashara ya mchele kupeleka zambia kwa tren ya Tazara naona ni nafuu kiasi
 
Mada Kama hizi huwa mijadala yake niichache mno kwa sababu wengi wetu tupo tunajadili habari za burudani na watoa burudani, tunajadili Sana habari za siasa na Wanasiasa.
Mwisho tunajikuta muda umetuacha , frusa zimetupita , lawama tunaipa serikali.

Hoja yako ndugu mleta mada Ni nzuri mno na inamashiko. Pamoja na Hilo ulilolibainisha hapa pia Mimi naona ikiongozekea na mambo ya kilimo na ufugaji hatua itakua kubwa.
 
Nimefika South Africa nimekutana na wabongo kibao wanapambana.

Nimefika Lusaka na Kitwe Zambia nimeona wabongo kibao hasa kutoka Mbeya wana business zao pale.

Nimefika Mzuzu na Lilongwe hasa Black street nimekuta wana kibao pale.

Kampala wabongo wapo wanapambana.

Kenya hapo Nairobi kuna wachaga hadi mbunge wao Jagwaaa wa jimbo la starehe aliwahi kulalamika kuhusu idadi kubwa ya wafanyabiashara kutoka tz.

MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI. WABONGO WANAPAMBANA SANA.

FIKA HAPO BORDER YA TUNDUMA AU NAMANGA UONE MWENYEWE!
 
Siku hizi treni hiyo haivuki boda kutokana na mambo ya Covid.
Pamoja na mambo mengine pia, ni kwamba usafiri wa Tazara sio wa kuaminika sana hasa katika mizigo. Uendeshaji wao sio mzuri. Nimeona nikutahadharishe mapema, wiki iliyopita nimesafiri na treni hiyo kutoka Dar kwenda Mbeya na katika stori na miongoni wafanyakazi wa shirika hilo alitanabaisha kwa kina. Case study ilikua ni Mbeya Cement kwanini walishindwana na TAZARA katika kusafirisha mizigo yao na kuamua kutumia malori.

NB: Hii ni tahadhari tu na wala si kukukatisha tamaa.
Shukran kaka kwa mchango wako...acha tuangalie mengineyo
 
Tukiachana na wito wa wanasiasa wengi wanaohimiza vijana kujiajili bila kutoa a way forward ya namna yakujiajili au bila ku sight fursa zilizopo nchini, binafsi nimejaribu kufanya analysis kwenye maeneo kadhaa ambayo kama nchi yanatupa advantage zaidi kulinganisha na majirani zetu. Lakini pia vijana au watanzania tulio wengi, hua tunapenda kusikia ama kufatilia matamko ya wanasiasa ambayo sometimes yamekua hayana impact kwa maisha yetu binafsi.

Tanzania, ukiangalia geographical location yake tumezungukwa na nchi nyingi sana. Jamani ,yan tuna borders nyingi sana ambazo nchi za wenzetu hawajapata bajati iyo .... Unawezatoka Tz ukaingia nchi hizi straight bila kupita ndani ya nchi nyingine (Yaani tuna direct access na nchi hizi).... Kenya, Uganda, Burundi,DRC, Zambia, Rwanda, Malawi, Zambia, Mozambique) . Tafsiri yake ni kwamba, tuna advantage kibiashara na nchi zote hizo. Pia tuna advantage kidiplomasia almost na nchi zote, tuna historia nzuri nazo, baadhi ya nchi ni land locked zinatutegemea kwa importation (Through bandari zetu). Lakini pia,kwa record zilizopo ni kwamba wabongo tunapendwa na nchi jiran zilizo nyingi, yaan watu wa uko hawana shida na wabongo. Nenda DRC Congo ,ulinganishe wacongo wanavyo watreat wabongo na wanavyo watreat Wazambia au Wazimbabwe.

Udhaifu wa wabongo tulio wengi, hasa vijana wakibongo wamejaa uoga, mbongo sio mtu wakwenda front kupambania deal hasa linalohusisha kuvuka border ( Sijui shida ni mfumo wa elim yetu ulivyo tutengeneza??!!) Hua tunawaogopa wakenya ,lakin wanachotuzid wao ni ile spirit yakuwania fursa (they are go getters). Wabongo wengi hawatakagi mishe zakumiiza kichwa, anataka akute kila kitu kimenyooka. Nilishangaa sana ,nilienda Malawi kum introduce mshkaji wangu ana kampin ya Clearing & Forward ,jamaa wa Malawi wakashangaa wakawa wanauliza ni kwanin port iko kwenu TZ ila wanaokuja kuchukua contract za Clearing apa Malawi wengi ni wakenya??!!

My Advice
Tuamkeni jamani, nchi yetu ipo kwenye economic blocs km EAC, SADC yaani mkikaa tu hum ndan bila kutoka hata apo jiran mtashangaa wa Zimbabwe, Kenyas, UGs et all ndo wanafaidi. Najua wengi tutasema issue ni capital,but trust me wengine hatukuanza na capital hata kdg but we made some deals hadi kufika hapa. Tutafute na tupeane connections, tuache roho zakukunja. Mwisho wa siku serikal sio baby sitter wetu, we need to go forward ,be confident enough tusilegee legee watu wanasaka fursa jaman. Zunguka kwny borders ,sio mtu unapajua mkoani kwenu ulikotoka na Dar tuu basii unaona km umemaliza. Halaf km hamjui, wabongo tuko talented sn yani tuko fasta hasa kwenye deals na hua tuna sifa nzuri -Kwa wale wanaothubutu - (Pongez kwa founders wa nchi waliweka mazingira mazuri sn diplomatically) . Km una mchango wako ,karibu n let's share vijana tutoke. Sio kijana kununua tu ka IST na kujenga nyumba ya rum 2 unaona ushatoboa ,let's think Big jaman.

Ahsanteni!
Ha huko kuzunguka uwe na nauli au uwe MBWELE usafiri kote uliko sema bila nauli.Imbofu
 
Back
Top Bottom