Mkuu premio ya 2008 imaitwaje nisaidie yaweza kua nimekosea ilq mi najua ni maarufu kwa jina hilo maana kila mwaka inatoleo lake
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wakuu ijumaa asubuh nasafari ya kwenda handeni Tanga, njia ipi nipite? Natokea kahama, ipi nzuri ipi short cut au ushauri pls gari gari ni sedani premio new model ya 2008
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Awe fundi anaejua kutengeneza mabango ya kuwaka,3d anae jua kufanya branding zote kama magari,ku brand shell eneo la kazi ni kanda ya ziwa na mshara mzuri kama yupo anichek kwa no.0746294348
Mtoa maada yupo sahihi, ni keeli kama alifanya hivyo atakua alipopunguza garama,inaitwa win win situation yani wakala kama angemueekea mteja keenye simu yake,wakala angepata commision ya 280 kea kuweka 150,000/= na hiyo 280 mwisho wa mwezi ina katwa kodi sasa hapoa kapata 1500/= ina maana kapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.