Kuna wanaoamini kuwa uwepo wa muungano ni kikwazo kwa Wazanzibar ktk kutumia fursa walizonazo ili kujiletea maendeleo yao, hilo sio jambo la kufumbia macho au kudharau.
Kuna wanaoamini kuwa hata kama muungano huu utavunjika inawezekana isiwe ndio mwisho wa matatizo ya wazanzibar. Hawa nanaamini...
Hata hivyo hiyo offer ya kupiga ilikuwepo kama 2-3 months ago(kama sijakosea), mpaka inaisha hata sikumbuki kama niliitumia. Mimi naami hii offer inalenga kundi fulani la watu, sidhani kama mtu mzima na heshima yako utasubiri usiku ufike ndio upige simu. Mazumgumzo gani hayo ya kusubiri usiku...
Ili siku nyingine usiumize kichwa sana jaribu kutumia Drive identifier. Inakusaidia ku identify drivers zote zinazomiss kwenye windows yako.
Ukii run inaleta list ya driver zote compartible pamoja na status, then utatakiwa kudownload au ku updated kulingana na mahitaji yako.
Mambo ya...
Bado kwa hapa bongo internet services ni expensive sana hasa kwa wenye matumizi makubwa ya internet.
Airtel 400mb inafaa kwa ku surf na matumizi madogo madogo tu, lakini si kwa matumizi makubwa.
I think we still have a long way to go.
Hapo kwenye red naona umeteleza kidogo Smile.
Huna sababu ya kusema wanaume wote si waaminifu kwa sababu huna ushahidi. Hapa nina maana kwamba hata mwenzio hujui uaminifu wake kwako, kwa hiyo huna sababu ya kumtilia mashaka kwani hujui kitu chochote juu hilo.
Mimi kwanza nimeishaanza kutilia mashaka wachangiaji wa hizi threads zenye udini. Inawezekana kuna watu wana IDs hadi kumi kwa ajili ya kuchangia mambo haya. Sitarajii kama tuna watu wengi humu jf (great thinkers) wenye mawazo ya kidini kiasi hicho.
Maana utakuta mtu anaanzisha thread isiyo na...
Kila siku udini... udini... udini.... hadi kichwa kinauma. Hivi kweli, ulishajiuliza ikiwa kiongozi fulani wa dini yako amekufanyia nini cha ziada personally kwa nafasi yake serikalini. Mbona wote mafisadi tu, wanakukumbuka saa ngapi. Nyie mtaishia tu kupigana vikumbo, huku wenzenu wanazidi kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.