Utajuaje kama mpenzi wako ni mwaminifu au la?

ukichunguza sana utapata BP haraka sana haswa kwenye maswala ya mapenzi tunatakiwa tuwe na vivu kiasi tu
 
asinipende? aninyanyase na watoto.aache kuniheshimu na kunithamini.... na malovee yote aache kuprovide
ila kama ananiacha shwari mi poa tu
ila nisijue

Hapo kwenye red naona umeteleza kidogo Smile.
Huna sababu ya kusema wanaume wote si waaminifu kwa sababu huna ushahidi. Hapa nina maana kwamba hata mwenzio hujui uaminifu wake kwako, kwa hiyo huna sababu ya kumtilia mashaka kwani hujui kitu chochote juu hilo.
 
Anazerth usife moyo, ukitaka ufaidi ndoa yako kaa mbali na simu ya mumeo. usitake kwanza kuishika manake utajipa presha bure....................
 
Back
Top Bottom