Recent content by the grate

  1. the grate

    JamiiForums Tanzania Utawala wa jk-wawakera wazungu !

    Me naona sisi kama watz 2nahitaji ukombozi wa fikra, nimesema hivyo kwa sababu kuna watu wengi sana hapa tz ambao wanaamini tz ha2wezi 2kawa na maisha bora na siasa safi kwa hiyo hata wakiona uchafu nao wanauendeleza coz wanaamini kila mtu ni mchafu..ukombozi wa fikra jamani ndio jibu
  2. the grate

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha mwaliko wa X mas kutoka kwa binti mrembo au familia.

    Kulee kwa wauza sura,mara moja ..fb
  3. the grate

    JamiiForums Tanzania WaTZ Mbona hampendi wakenya?

    Kenyata next tym b careful haya uliyoyasema hapa usijaribu kuyasema hadharani utatemeshwa moyo..nawsh 2mit face2face, ukija tz nitafute nitakupa darasa la jinsi ya kuishi na watz coz nina wasiwasi na usomi wako
  4. the grate

    JamiiForums Tanzania Heri upweke mara 100 kuliko mpenzi asiyejua maana.

    Perfect mkubwa
  5. the grate

    JamiiForums Tanzania Jamani tujadiliane na hili la personal space

    Me binafs siku tano za wiki nakuwa busy sana na siku mbili ni za mapumziko, siku moja naitumia kusocialize na marafiki na ndugu na mitoko ya hapa na pale na siku ya pili huwa ni napenda kuwa peke yangu nisome vitabu na kufanya ibada pamoja na kutumia muda mwingi kutafakari maisha yangu
  6. the grate

    JamiiForums Tanzania The art of rolling.

    Mungu atuepushie mbali
  7. the grate

    JamiiForums Tanzania Safari mpya,pray for me

    God blec u
  8. the grate

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiii

    Karibu sana
  9. the grate

    JamiiForums Tanzania helo helo.

    Welcom
  10. the grate

    JamiiForums Tanzania Intro

    Karibu sana
  11. the grate

    JamiiForums Tanzania Mgeni wenu

    Kariibu sana
  12. the grate

    JamiiForums Tanzania Moyo Mpweke Wahitaji Marafiki JF

    Karibu count me as ur frnd
  13. the grate

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi jama naingia,

    Karibuu mwenzangu
  14. the grate

    JamiiForums Tanzania Hi

    Karibu mwaya
  15. the grate

    JamiiForums Tanzania Kasuku

    Nimefurah
Back
Top Bottom