Recent content by The Gold

  1. The Gold

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Weka bunduki chini tushindane kwa hoja
  2. The Gold

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

    Matatzo madogo yanapopuuzwa husababisha matatizo makubwa
  3. The Gold

    JamiiForums Tanzania Deni la Diamond platnumz kwa Ali Kiba

    Point nzur sana
  4. The Gold

    JamiiForums Tanzania Deni la Diamond platnumz kwa Ali Kiba

    Mimi sio mpnz wa muzik lkn huo wimbo wa zilipendwa nimeukubal sana kuanzia mpangilio ktk video had ujumbe....bla unafk jamaa anajitahid
  5. The Gold

    JamiiForums Tanzania Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Mkeo kafumaniwa gesti
  6. The Gold

    JamiiForums Tanzania Kaburi linalochagua jinsia

    Imetulia
  7. The Gold

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anagoma kufa mpaka amuone mtu anayemhitaji kumuona?

    Cc: mshana jr
  8. The Gold

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anagoma kufa mpaka amuone mtu anayemhitaji kumuona?

    Sio hvyo tu mkuu, wengne kabla ya umauti huwa wanaomba wapikiwe aina flan ya chakula, au hata huomba maji ya kunywa....haya mambo kina mshana jr wanaeza kufafanua zaid, wamebobea ktk hz fani ngoja tumuite aje
  9. The Gold

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi uchoyo/ubinafsi unafaida gani katika maisha yako ya duniani hapa

    kukaa kwa mashemeji au mawifi hakujawahi kumwacha mtu salama... Maisha ni magum sawa ila mtu ukijitegemea kwa kujituma kufanya kaz hata ya kubeba zege ni salama zaid kuliko kukaa na kumtegemea ndugu...Maisha ya manyanyaso kutoka kwa ndugu ndiyo yaliyosababisha niweke degree yangu pembeni na...
  10. The Gold

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina la mtoto wa kike linaloanza na herufi "G"

    Gunjuruu
  11. The Gold

    JamiiForums Tanzania Meditation in your daily routine

    Mkuu tafadhali jongea PM kuna mtu anahitaji maarifa kidogo
  12. The Gold

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Congrats mkuu kwa elimu
  13. The Gold

    JamiiForums Tanzania Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

    Sawa mkuu
  14. The Gold

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanawake wanaopigwa kama punda na waume zao na bado wanang'ang'ania

    Mdogo wako amekomaa kiimani, pamoja na kupigwa anarudi kwa bwana ake akiamini ipi siku hatapigwa tena, by the way tafuten namna ya kuwaweka sawa lkn si kuwatenganisha maana kilichowafanya wakaamua kuishi pamoja wanakijua wenyewe
  15. The Gold

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kwa huyu mjane tafadhali

    Wanakuja wanasheria mkuu ...mm nimemshikia yule chalii ya chuga siti
Back
Top Bottom