Hizi nyimbo nazitafuta sana.
1. Www.mapenzi abdul misambano akiwa na tam tam ikibidi nipate nyimbo zao zote walizoimba akiwemo sekedia
2. Picco mapenzi hamna tena
Habari!
Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao...
UTANGULIZI:
▪︎Mimba zisizotarajiwa zimekuwa tatizo sugu kwa miaka mingi katika jamii yetu. Nataka kusaidia kuondoa mimba zisizopangwa kwa kumuelimisha mtoto wa kiume ambae ndiye huweka mimba.
Ni rahisi, mwanaume anatakiwa ajue na kuelewa mzunguko wa hedhi wa mwanamke kwa usahihi. Hitaji la...
Ni upumbavu tu kuamini tz itapga hatua kwa ccem kuendelea kutawala!
Police ni walewale,na hata uwe msomi kiasi gani ukiwa ccem sharit ujitoe ufahamu na uiweke elimu yako mfukoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.