Mauaji ya Katibu wa CHADEMA Hanang

Mauaji ya Katibu wa CHADEMA Hanang

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,039
Katibu wa chadema wa kijiji cha Min'genyi wa chadema auawa kikatili na mgambo wawili kwa kugongwa na gari la Mwalimu Gidasaida.
Katibu huyo alimpeleka mwandishi wa habari wa ITV kumuhoji Mwekezaji wa shamba la Gidaagamodi kumuhoji kuhusu uonevu wa kuwanyanyasa wananchi jirani na shamba lake.
Huu ukatili ni wa kuupiga vita, haki itendeke.kwani inavyonekana mwenyekiti wa kijiji na Afisa mtendaji wa kata wanafahamu kinachoendelea.
 
Huyu mwejezaji atakuwa na watu wakubwa nyuma yake. Na kwa jinsi ninavyowajua masai huyo mwekezaji atahama nchi.
 
Natabiri "watachoma moto uwekezaji na nyumba ya muwekezaji"

NI UTABIRI NA WALA SI UCHOCHEZI.
 
Huyu mwejezaji atakuwa na watu wakubwa nyuma yake. Na kwa jinsi ninavyowajua masai huyo mwekezaji atahama nchi.

Mwekezaji ni wa Rai group kutoka Kenya.
Huu ukatili umezidi kipimo.
 
Chadema wameanza mauaji, huyo alitaka kurudi ccm chadema wakamuwahi
 
Katibu wa chadema wa kijiji cha Min'genyi wa chadema auawa kikatili na mgambo wawili kwa kugongwa na gari la Mwalimu Gidasaida.
Katibu huyo alimpeleka mwandishi wa habari wa ITV kumuhoji Mwekezaji wa shamba la Gidaagamodi kumuhoji kuhusu uonevu wa kuwanyanyasa wananchi jirani na shamba lake.
Huu ukatili ni wa kuupiga vita, haki itendeke.kwani inavyonekana mwenyekiti wa kijiji na Afisa mtendaji wa kata wanafahamu kinachoendelea.

Ukizoeya kula nyama ya mtu uwezi kuacha kama ni kweli kitendo hicho kimefanyika tutashudia mengi sana mwaka huu,watu inabidi wakemee mauwaji ya aina yeyote ile iwe ni albino au yawe mauwaji ya kisiasa
 
Hv Mpaka Muda Huu Hao Mgambo Bado Wapo Hai Kwa Ruhusa Ya Nani? Huyo Mwekezaji Na Mali Zake Zote Bado Yupo Hai? HAMJUI CHA KUFANYA?
 
Back
Top Bottom