Simiyu: Kamanda Ramadhan J Mayenga wa CHADEMA afariki Dunia

Simiyu: Kamanda Ramadhan J Mayenga wa CHADEMA afariki Dunia

Mungu awape nguvu wana jamii wote ya huko, kwa uwezo wa mungu kamanda wenu yupo anawaona huko aliko....
 
Kifo cha kamanda huyu ni pgo lililoacha pengo kubwa ktk kijiji na familia kwa ujumla hakika kijana alikuwa ni tumain jipya la watanzania R.I.P Ramadhan
 
R i p kamanda mungu awape nguvu familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu
 
R.I.P Mayenga....
tindilaga poleeee!!! I mean pumzika kwa amani.
 
Huyu ni Ramadhan Jilisha Mayenga amefariki siku 3 baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lalago kilichopo Wilayan Maswa, Simiyu.
Aidha kamanda huyo alihutubia mkutano huo ulioitishwa maalum kuwashukuru wananchi kwa kukipatia chama hicho ushindi katika baadhi ya vitongoji.

Katika hotuba yake kamanda huyo alizungumzia namna Diwan wa kata ya Lalago Alli Mbariki (CCm) asivyowajibika ikiwemo kutohudhuria vikao vya halmashauri, kutochangamkia miradi mbali mbali ya kijamii km vile maji, uzembe uliofanyika mpaka kupelekea kiwanda cha mzungu Cargil kufa na kuwakosesha ajira vijana, kutokuitisha mikutano kuongea na wananchi wake ili waweze kumpatia matatizo yao kama wananchi.

Kamanda huyo amefariki leo asubuh ya tarehe 3/2/2015.

Mbona sijasikia cdm wakitoa mkono wa pole kwa familia? ila sishangai hata kwa kamanda Lukona hawakutia timu.
 
Mbona sijasikia cdm wakitoa mkono wa pole kwa familia? ila sishangai hata kwa kamanda Lukona hawakutia timu.

kifo siku zote ni matatizo , ni changamoto , hakijawahi kuwa mradi au sera ya chama chochote , majungu hayatasaidia chochote kilichobaki ni kumuombea marehemu apunguziwe adhabu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom