Hakika kama ikifika mahali ccm ikakikabadilika na kuwa kama mnavyotamani(mtoa mada na mliochangia), pengine unaweza ukawa mwanzo mwema wa mabadiliko katika hili taifa. Nasema hivi kwa kumaanisha kuwa ccm ndio mnaotuvuruga(taifa) kwa kuwapa watu wasio na hekima kuwa mstari wa mbele. M4c forward...
Kaka kusema kwamba ccm wanalakujisifia kwa kushika dola nusu karne ni makosa makubwa, wanapaswa kijisifia kwa kuakisi kule tunakoelekea kwa kuwa ndiko panapotoa taswira halisi ya kufa ama kustawi kwake.
Acheni umbumbumbu watanzania wenzangu mnaosema eti tutaipiga rwanda kisa ni ndogo kijokrafia, ni nani aliwafundisha kuwa uimara wa jeshi ama wa taifa unapimwa kwa misingi ya ukubwa wa ardhi??? Pumbafu nyie hamjui historia mnaandika tuu....kama nchi kuwa kubwa ndiyo inakuwa na jeshi nzuri mbona...
Mtoa mada amenitia hasira sana, hii ni kwasababu maandiko yake yanaudhi na kuchefua hususani pale anapomtaja Mwigulu kama shujaa, basi tuu acheni Mungu aitwe Mungu maana mimi ningelikuwa ndiyo Mungu nisingekuwa nimemuacha hai hadi muda huu kwani nina mchukulia kama gaidi kwenye kibali cha...
tusiubari ufisadi ndugu zangu, nyie mnaotaka ushaidi mmeipata wapi hiyo mamlaka? nyie ni mahakama?. kutoa taarifa ya malalamiko ni universal right, ushaidi ni hatua ingine tofauti.
Taifa limetumbulia katika siasa zisizo na mwisho, tumekuwa watu wakuwaza uchaguzi kila baada ya uchaguzi. Yale yanayojadiliwa lengo la wahusika ni kujiimarisha wao, vyama vyao na siyo vinginevyo, pengine hii ndiyo hasara kubwa ya vyama vingi
Ni busara hiyo mahakama ikianzishwa nje ya serikali, uwe utaratibu wa waislamu na siyo serikali. Hilo litasaidia serikali kuwajibika kwa watanzania na siyo kwa dini
Eee mungu, muumba wa mbingu na nchi utuepushe na hila zote zenye nia yakukwamisha ndoto yetu yakuwa na taifa la haki,usawa na uadilifu... Wataichelewesha haki yetu lakin hawataweza kufanya hivyo milele
Let us wait and see what will happen at near future.......kupambana na ccm ni sawa na kucheza kamari, unaliwa au ule. Kwan wao ushindi kwa nilazima hata kwa njia za giza
Watu wengi hawajui kwanin muungano ulikuwapo? Hatupendi kujiuliza hilo badala yake tunakimbilia ama kuuvunja au kuuimarisha pasipo kujua chanzo cha uwepo wake. Hata watawala wetu wanapata kigugumiza kusema kam tulilazimishwa na mabepari.hil n tatizo
Sasa kifo cha cuf nje nje, miti yote inaanza kuteleza. Huruma yenu iko wapi kwa ccm mliyo onyesha mkaamua serikal ya pamoja z'bar? Je mmeshajua uamuzi wenu haukuwa sahih? Iweni wajanja kama nyoka, wapole kama maua
Pengine ameamua kutumia japo busara kidogo ya kukaa kimya baada ya kujua kwamba chama hakiokoki tena na akaamua kuwaacha nape na mwigulu waendelee na kaz ya kujaza maji kwenye pakacha linalovuja.....si wakatishi tamaa maana kufanya hivyo n dhambi kuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.