Recent content by The Galactico

  1. The Galactico

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndugu zangu nashukuru kwa ushauri wenu ulio mzuri , acha nikafanyie kazi. Shukurani sana mbarikiwe wote.
  2. The Galactico

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Okay sawa kiongozi lakini ninachojiuliza ni kuwa nilikuwa shortlisted kwa post tano nyuma kabla ya hizi za August mwaka huu. Cheti cha kuzaliwa kilikuwa certified chini ya district registrar .
  3. The Galactico

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukurani sana kiongozi kwa ushauri ngoja nifanye fasta kwa kweli
  4. The Galactico

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari za asubuhi wataalamu, Ninaomba kuuliza swali , mnamo mwezi wa nane nilifanikiwa ku apply nafasi 4 kwa taasisi nne tofauti kwa kada yangu . Lakini post moja matokeo ya shortlist yametoka na sijafanikiwa kuwa shortlisted kwa sababu ya cheti cha kuzaliwa kutokuwa certified na advocate au...
  5. The Galactico

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Yaan Yahya jabrane yupo benchi kweli sio mchezo
  6. The Galactico

    Nina tatizo la sikio kuunguruma au kama kuna maji sikioni

    Hii hali na mimi huwa inanitokea ila nimetambua ni earwax au uchafu wa masikioni unaojaa na kusababisha sikio kuziba Kwa muda , mimi siku nyingine hata siku nzima linaziba kesho yake lifunguka . Mwaka jana ndio nilianza kuhisi hili tatizo lilipo anza kama double sound Kwa sikio la kulia yaani...
  7. The Galactico

    Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

    Njoo kiongozi tutengeneze app yetu ya fantasy 6 Tz, unajua kiongozi SOKA la kibongo limekua Kwa kasi na katika mashabiki wa SOKA wengi ni watumiaji wa smartphone . Hapa Kwa kila wiki zinachaguliwa mechi sita za ligi kuu Tanzania za Kibabe hivyo watumiaji wanatakiwa kuchagua mchezaji mmoja ambaye...
  8. The Galactico

    Azania Sec. School (SPECIAL THREAD)

    Nawakubali sana wanangu wa Aza boy , moja ya shule bora kabisa mjini Dar es salaam, inawakutanisha wanafunzi kutoka pande zote za jiji wakiwa na uwezo na vipaji mbalimbali. Nikiwa Azania sec nimekutana na vipanga , na Vijana wenye vipaji mbalimbali either mpira, kuchora, ku dance na kuimba .
  9. The Galactico

    TBT: Need For Speed 2, Tuipakue tukumbushane enzi na Tufurahi, inakubali windows 7, 8, 10, 11.

    Hatari sana hili game lina magari kama Bombastic, McLaren, Ford indigo , Lamborghin ndio lenye spidi kubwa na acceleration na magari mengineyo . Mimi nimecheza 2006- 2011
  10. The Galactico

    Efootball vs dream league soccer(dls)

    Kwa mimi nimecheza game zote ila eFootball ni moja ya game bora sana ikifuatiwa na Fifa mobile hii ni Kwa sababu ya kiwango cha juu cha gameplay realistic , graphic , pia inakupa challenge ya kutosha kuliko DLS. Kwa sasa wameita eFootball Kwa maana ya electronic football kuwezesha Michezo ya...
  11. The Galactico

    Tujikumbushie movies zilizotukuza in 80s, 90s & early 2000s

    Kuna hii movie inaitwa Solo nilikuwa naikubali kinoma
Back
Top Bottom