Mazugwa
Member
- Apr 19, 2013
- 63
- 60
Habari za wakati huu wakuu,
Nimewahi kuandika mada kuhusu space research kwa hapa Tanzania na matamanio yangu kama raia wa Tanzania kuanzisha au kua na kitu kwaajiri ya research za kisayansi kama zilivyo nchi zilizoendelea, kuanzisha research organization kwaajiri ya mambo ya anga na kua na lab nzuri kwa ajiri ya vijana wenye ujuzi na engineers wazuri na wenye vipaji tulio nao.
Mmwenye interest ya kweli naomba anifuate inbox.