Wakubwa, natumai mu wazima na Mungu anawapigania.
Naombeni msaada wa kujuzwa na wajuzi wa mambo katika hili, kwanza samahanini kama nimekosea jukwaa sahihi la kuulizia.
Ok, kwa raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), je wanahitaji VISA wanapotaka kuingia...