JAMANI OPA D4 YANGU! Msaada wenu tafadhali!

JAMANI OPA D4 YANGU! Msaada wenu tafadhali!

Mkuu Kaizer tatizo mafundi wengi wa Mtaani wanajua Kugonga nyundo, kubadili filter na kusafisha, Magari mengi ya kisasa yanatumia Umeme na Electronic nyingi kuliko Mechanics issues, Ni vizuri ukaenda kwa Mafundi ambao wanaweza kufanya diagnosis, wanaweza kutafrisi troube codes zinatolewa na Computer. Unaweza kukuta ni Filter flani imepata uchafu au imejaa Carbon kwa hiyo transmission inakuwa siyo nzuri. D-4 engine zina nguvu sana na kwa kweli zinahimili Mazingira mengi. Tatizo si D-4 engine bali mafundi wetu ni Zero Brain. Peleka gari yako Toyota au kwa Mchina pale Kijitonyama (Kelvin). Unaweza kukuta ni EGR valve au anything imejaa carbon

Thats my point mkuu Albedo asante kwa kuongezea nyama hapo
 
Last edited by a moderator:
Pale kigogo njia ya kuelekea ubungo maziwa, kama 100m kutoka round about ya kigogo, mkono wako wa kushoto. namba yao ni +255714553308

Mkuu asante kwa kumwelekeza kwa uzuri zaidi.
maph ukifanikiwa uje kwen huu uzi utupe feedback
 
Last edited by a moderator:
Ndugu, naona kama ushauri wako ni mzuri kama unamatumaini vile ngoja , kwahiyo unauhakika na wewe Gari ilikuwa inatatazo kama hilo na ukatoa alamu ikawa safi!? mimi nimefunga alamu ambayo naweza kuwasha gari niko nnje.

Kaka baada ya kutoa alarm kama nlivokwambia sjapata tatizo ilo tena nime drive leo toka dar now nipo arusha sjapata tatizo lolote barabarani mtu asikushauri ufungue engine karibu fumtafta fundi wa umeme kama nlivofanya then desconect alarm kwa mda uangalie kama ltajitokeza tena kama halitatokea itupe kule kama nlivofanya mimi staki hata kuziskia alarm tena
 
Hello,kama uko dar please wasiliana kwa namba hii 0755399613,0715399613.usipende kupeleka gari yako kwa mafundi wasio na diagnostic tool utaua gari yako.pia mafundi wengi wanapata shida kwasababu hawana ujuzi wa kisasa,
 
Tusichokijua ni kwamba mara nyingi tatizo likitokea kwenye conrol box hata diagnostic tool haidetect,cha kufanya km umeshabadili Oil pump na Plug tafuta mtaalamu wa umeme akuchunguzie Conrol box km haijapiga sort...try it utaniambia!
Binafsi wamewahi kunimislead nimechange pump na vikorombwezo anuai of which tatizo limekuja kugundulika baadaye kwamba lilikua kwenye Control box na baada ya kubadili maisha yanaendelea!
 
...Pia inawezekana tatizo likawa ni kuisha kwa Engine Lead wires (zinavujisha moto/umeme) au Ignition coils zake zimeisha. Ukiwa gereji jaribu kubadilisha hzo lead wires uone au hizo coils uone. Lakini yote kwa yote, hilo ni tatizo la umeme, siyo mechanical... Pole. Usisahau kuleta feedback ukifanikiwa.
 
Back
Top Bottom