Msaada kwenye kona...

The FaMa

Senior Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
125
Points
195

The FaMa

Senior Member
Joined Oct 6, 2011
125 195
Wakubwa, natumai mu wazima na Mungu anawapigania.

Naombeni msaada wa kujuzwa na wajuzi wa mambo katika hili, kwanza samahanini kama nimekosea jukwaa sahihi la kuulizia.

Ok, kwa raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), je wanahitaji VISA wanapotaka kuingia nchini mwetu Tanzania?

Nimeuliza hapa JF kwani ninauhakika kuna wajuzi wa nyanja mbalimbali, hivyo naamini nitapata msaada/jibu la uhakika. Hivyo, natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakao nisaidia kujua hilo. NB. Kwenye google sikuweza kupata 'clear cut' information juu ya hili.

Thanx.
 

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
41,048
Points
2,000

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
41,048 2,000
Sidhani kama hii ina-apply katika nchi zote za SADC maana mara ya mwisho nilisikia SA wana mpango wa kuingia mkataba na TZ raia wa nchi hizi mbili waingie bila visa. Tusubiri taarifa zaidi kwa wenye ufahamu zaidi.
 

Forum statistics

Threads 1,390,411
Members 528,173
Posts 34,050,484
Top