Recent content by The Eclipse

  1. The Eclipse

    Natafuta kazi yoyote ile halali jamani.

    Hizo posti ni zake mim sina akaunt humu jf kama kuna mtu anaeweza kunisaidia anisaidie
  2. The Eclipse

    Natafuta kazi yoyote ile halali jamani.

    Kuna ubaya kwani???
  3. The Eclipse

    Natafuta kazi yoyote ile halali jamani.

    Hellow,nimetumia akaunti ya kaka yangu
  4. The Eclipse

    Natafuta kazi yoyote ile halali jamani.

    Mimi ni msichana mtanzania mwenye umri wa miaka 21 na ninaishi jijini Mwanza ,elimu yangu ya o level nimesoma Uganda na elimu yangu ya chuo nimeipata katika chuo cha usimamizi wa fedha I.FM tawi la mwanza kwa ngazi ya cheti "Certificate of accountancy ". Nimekuja kwenu wanajamvi mnisaidie...
  5. The Eclipse

    Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo

    Pole sana mkuu mi nakushauri siku nyingine ukinunua gari usiwe na tabia ya kupeleka carwash wakuoshee kisha unawaachia funguo halafu unakuwa umekaa pembeni unachati au unapata kilaji. Wezi huwa na connection na watu wa car wash hivyo suala la kuchonga ufunguo huwa ni fasta tu wakati unasubiria...
  6. The Eclipse

    Where are you my dream husband?

    We ndo umepigilia msumari kabisa kiongozi,nikweli hizo ndo sifa za mwanaume kamili...!!!
  7. The Eclipse

    Wapi nikachangamkie fursa ya mazao kipind hiki cha uhaba wa chakula nchini.

    Mimi pia nipo mwanza nlitaka nfanye biashara hiyo ya mazao hasa ya mahindi na maharage lakini bado sijapata mwongozo,kwa watu wa kanda ya ziwa ,mji gani unauza mahindi bei nafuu kwa ajil ya kuyaleta kuyauza mwanza mwanza???nsaidien wadau,bei kwa kilo,usafiri na bei ya kuuza kwa mjini
  8. The Eclipse

    Natafuta rafiki/mchumba aje kuwa mume

    Upo mkoa gani...???
  9. The Eclipse

    Natafuta rafiki mwanaume

    Mi nicheki kwa 0746249664, meseji zinagoma kila nikiku pm...!!!
  10. The Eclipse

    Leo nimempa Lift Shetani mpaka Mjini, Nashukuru lakini nimepona

    Lete namba yake mkuu wanajamvi waingie kazini...!!!
  11. The Eclipse

    Natafuta mpenzi

    Kila mwenye akaunti mpya humu jf sio mgeni na yeye...!!!Wengine humu ni wakongwe kuliko hata nyinyi mnaolalamika et mimi ni mpya humu...!!!hii ni akaunti maalum ya kutaftia mpenzi baada ya wenzangu wengi kufanikiwa na kuleta mrejesho humu
  12. The Eclipse

    Natafuta mpenzi

    Habari zenu wanajamvi...!!! Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..; 1:Awe na miaka 18 na kuendelea. 2:Kabila yoyote ile. 3:Awe anajua kusoma na kuandika. 4:Dini yoyote ile. 5:Awe na mapenzi ya...
Back
Top Bottom