Leo nimempa Lift Shetani mpaka Mjini, Nashukuru lakini nimepona

No hujapona bado anaweza akawa kashakumiliki na ataanza kukujia kwenye ndoto kufanya mapenzi na wewe kama spiritual wife. Jitahidi uombe na kuwa karibu na Mungu saana.
 
nishamwambia anipe mimi hilo jini nimsaidie shauri yake maana yake hataki kuni pm namba yake labda kalipenda na yeye. atajijua yatakayomkuta maana watu wengine wagumu kuelewa mambo ya majini atuachie sisi ma half cast wa kibinadam na kijini
 
Siku ya leo nliianza na kuchelewa kazini. Nimeondoka home nikiwa na haraka kidogo. Nmefika njia panda kabla ya kuingia barabara kuu kukawa na kafoleni kiasi. Nikiwa nimesimama vioo juu.dada mmoja mrembo sana akaja akagonga dirisha.nikashusha.

Akanisalimia akitabasamu kuwa na kuuliza naenda wapi.nikamwambia posta akasema anaomba kama sitojali nimpatie lift. Nikasema sawa. Haraka akafungua mlango na kuingia. Alivaa sketi fupi ana mapaja mazuri, ana rang ya chungwa lililoiva vizuri. Ni mzuri kwa kila idara.

Alipoingia alikuta nasikiliza radio moja fm ya dini... Akasikiliza kidogo akabadili akisema anataka kusikia magazeti.sikupenda jambo hilo. Akaweka radio zao hizi za kipuuzi. Nikiwa natafakari kitendo hicho akauliza hili ni gari gan nikamjibu akasema yeye ana BMW ila mdogo wake kaazima jana hakurudisha.akamwambia atamletea kazini.

Huyu dada alikuwa amechangamka kama katiwa ndimu.akaanza kunambia biashara zake na pia anasikitika hana mtu wa kushauriana naye.na ameniona mimi ni kijana mtulivu nina hekima anapenda tuwe karibu.

Akafikia hatua hata ya kunirekebisha tai ilikaa vibaya. Wakat huo wote sketi yake imepanda juu hasa . anabadilisha level ya AC. Mara anarekebisha seat mara anaangalia nina CD gan pale garin...ikawa kero kweli kweli.

Akaomba achukue biz card yangu aliiona pale kwenye dashboard kabla sijajibu akaichukua na kuiweka pochini mwake.huko kukatokea manukato mazuri kweli. Gari zima likanukia marashi yake.

Nikaanza jisikia hamu ya kufanya mapenz.akaendelea kujiachia na kujiweka karibu nami...story zake zikahamia kwenye mahusiano na akawa anasema yeye ana miaka miwili hata hajananii...wanaume wa siku hizi hawana mapenzi....wakat huo huo anajirahisi kwangu... Kiukweli dada mzuri sana.mrembo umbo namba nane,rangi adimu na sura nzuri asikwambie mtu.

Akisema umpe gari au nyumba unampa bila kusita. Huyu dada alitaka tuonane mchana anitoe lunch. Nikamkubalia tu kweli saa saba akapiga simu yupo hotel flan katkat ya jiji niende kuna buffet. Akanambia niombe ruhusa ili tukae kidogo baada ya kula anipe story kadhaa za pesa na maisha.Hapo ndo nikajua huyu dada ni shetani si wa kawaida.

Haiwezekan akawa binadamu , ni ngumu si kwa uzuri ule na kujirahisi kwangu. Anataka kunila nyama au kuninywa damu? Nampenda mke wangu.
.ashindwe
ahaaa umenikumbusha mara ya mwisho nilipopewa lift nikawa nawapigia waendesha bajaji honi ovyo.nilipiga honi siku hyo hadi basi

we mwali hatari
 
WEKA PICHA KWANZA.
 
tatizo kubwa la jamii forum hivi asa kumekuwa na tuvijana tudogo tudogo tunavyoharibu hali ya hewa. kama ukitaka kuamini kuwa si kweli siwezi lazimisha kuwa lazima uamini. sihitaji. nimejaribu kushirikisha jambo hili na wenzangu wanaume watu wazima waelewe haya mambo yanapotokea wawe makini sana. binafsi huwa sipendi kuwapa lift wadada... sipendi... najua matatizo yake. huyu anaweza kuwa binadamu lakini kwa tabia zake ni sawa na shetani. wengi mnaposikia shetan mnajenga picha lazima awe na mapembe,makucha marefu na nywele chafu. mashetani tunaishi nao na wengine tunalala nao. shetani utamgundua kwa matendo.
 
nasita kukupatia namba yake ya simu. nawaza nitakuwa na ubinadamu gani kukupatia wewe namba ya mwanamke mwovu. kesho na keshokutwa upatwe na jambo baya. nitasemaje? she isnt a good woman. trust me. ni kweli ni mzuri sana, mzuri sana katika wanaume 10 nina hakika wote 10 watasema ni mzuri hana kasoro. ni mzuri sana. lakini sina imani naye... siwezi kukuuzia kesi mdogo wangu.

nimekaa mikoa kadhaa ikiwepo tanga,tabora na zanzibar haya mambo yapo... epuka yapo sana. kama watu hawatak kuamini siwezi walazimisha ila tuepuke sana mambo haya si ya kujaribisha.
nishamwambia anipe mimi hilo jini nimsaidie shauri yake maana yake hataki kuni pm namba yake labda kalipenda na yeye. atajijua yatakayomkuta maana watu wengine wagumu kuelewa mambo ya majini atuachie sisi ma half cast wa kibinadam na kijini
 
Princess huna lolote sifa alizomwagiwa huyo Dada na mleta mada ndizo zinakufanya uone wivu na kusema it's non of your businnes
akhuuu!!
sijaona wivu maana hio level ya huyo dada. siifikii hata⅛
kanizidi mpaka dhambi
ndo mana nmejiweka pembeni.
nawatazama watani zangu akina Iweeeh watoto wa muleba uwanja wao huu
 
Kwann ww hukumwambia waz kuw anachokifanya ww hujapenda na una mke wako.Au ulimwomba mchezo amekataa xaa hii unamwona jin.
 
Iviii mda wote huo anaochukua umiliki wagari lako breki za gari zilikuazimekufa? Si ungesimamisha gari na kumshusha. Unatudanganya tu hapa, huyo utamla tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom