Where are you my dream husband?

Huyo uliyemuumba kwa fikra bado hajazaliwa na hata kama kazaliwa amesha nyakuliwa.

Wewe endelea kumuumba hivyo hivyo kifikra utakapofika 40 ndiyo utajua maharage ni mboga au zao la biashara.

Unachagua kama vile una mkataba na Mungu. Keep dreaming my dear sister whilst years pass by...

 
wewe sio utakuwa umetokea kureeee koromijeee kweli? Utanii tu kama ulivyosema usinichukie bure. Sasa mama wa koromijeee mie kazi yangu ni kubeba mizigo na toroli hapa mnazi mmoja, kama utapita mitaa hiyo unaweza nicheki tuchonge kiainaaa. Kuhusu urefu naona nakidhi vigezo kwa sababu nimemzidi ngosha/magu, je hapo si nafaa au? Ila bahati mbaya niliishia darasa la saba sina vyeti orijino kama vyako lakini maisha sio vyeti peke yake, JE NIJE PM au nisubirie kwanza wenye vyeti orijino wachujwee kwanza?
 
Dada angu maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi latoka kwa bwana

-Ulichokiomba kipo sahihi kabisa kwa Mungu maana hachelew wala hawahi,uwe mvumilivu,usikate tamaa,wala usilegeze imani.hapo ni upande wa Mungu.

~Ila kwa upande wa kibinadamu kuweka masifa hayo yooote utafikiri huyo mwanaume kuna mmama speceli umemuandaa akuzalie,mhm.

~Kwa umri wako kuchangua sana ngati kanga dukani mhm,sikuvunji moyo lkn masifa mengi dadanguu degree,mrefuu nk.kumbuka hata Mungu unaweza kuomba A akakupa D na usimuulize kwa nn?sijui km unajua.
 
Huyo uliyemuumba kwa fikra bado hajazaliwa na hata kama kazaliwa amesha nyakuliwa.

Wewe endelea kumuumba hivyo hivyo kifikra utakapofika 40 ndiyo utajua maharage ni mboga au zao la biashara.

Unachagua kama vile una mkataba na Mungu. Keep dreaming my dear sister whilst years pass by...

Aksante kwa kuchangia dear.
 
Some time, ukiwa seriously sana hupati mtu, try to be a little bit flexible.
Usijali.I know what I'm doing. Sio kwamba sipati Pm wamekuja wengi tu.Nimefanya hivyo.Ili wasizidi na Mimi nisipate shida kuchagua.Na angalau MTU asipoteze muda wake.Nimeweka wazi kila kitu Ili ukija kweli Pm upo Fuluuuu.So nimewwka ivyo.Sio baadaye MTU aseme huku sema au aje MTU alishaoa zamani.Nianze tena kusumbuana Na.mke wa zamani.Hapana.
 
Mmmmhh, vigezo vikali. Kwa miaka hiyo kwa wanaume wenye kipato mujarabu wameshaoa. Mm nameet tatizo dini
Sio kweli.Mimi Ndo nakuhakikishia.Hapa Duniani mambo hayawezi kuwa Asilimia 100 kwa 100.Wapo.Na wamekuja.Tena wana sifa hizo.Usiwe Too Negative utakufa mapema.
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Similar Discussions

Back
Top Bottom