The Eclipse
Member
- Apr 21, 2017
- 12
- 11
Mimi ni msichana mtanzania mwenye umri wa miaka 21 na ninaishi jijini Mwanza ,elimu yangu ya o level nimesoma Uganda na elimu yangu ya chuo nimeipata katika chuo cha usimamizi wa fedha I.FM tawi la mwanza kwa ngazi ya cheti "Certificate of accountancy ".
Nimekuja kwenu wanajamvi mnisaidie kupata kazi kwa yoyote yule mwenye connection kwani nimeshatafta sana kazi.Naweza kufanya kazi yoyote ile kama,
1:Cashier
2:Receptionists
3:Secretary
4:Customer service officer
5:Sales representative
6:Marketing officer
7:Kuuza kwenye duka la nguo,vipodozi, supermarket,Duka la simu,vifaa vya ujenzi,vifaa vya umeme na furniture n.k n.k...!!!
Nina udhoefu wa kazi wa mwaka mmoja kama Receptionist kwenye NGO.Nipo tayari kuanza kazi muda wowote ule kwa atakaenihitaji na napatikana kwa namba 0714277 144 ...!!!
Lugha nazotumia ni Kiswahili,Kiingereza na Kiganda.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Karibuni saaana.