Recent content by The dumb Professor

  1. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    KUwa mkweli, nilichosema hapo juu ni kumdhihaki?
  2. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

    Jibu ni ndiyo
  3. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    Dini zinatengenezwa na watu wenye nguvu ili kutawala wanyonge. Kwahyo inashangaza sana pale napoona mbwa analalamika kwanini mmiliki wake havai mnyororo shingoni kama yeye.
  4. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Ni member yupi una uhakika yupo katika ignore list ya wanachama wengi humu?

    Mzee acheni kuwareply, kwamfano mimi uyo nishamuignore ila sasa ukimreply naona kuwa ulimquote
  5. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Hivi Holland na Netherland kwanini zote kwa kiswahili zinaitwa Uholanzi?

    KWasababu ni nchi hiyo hiyo
  6. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Masanobu Sato

    Ni kipaj mkuu....ukisema hvo vpaj vyote utasema ni kutoboka ubongo, utasema hata husein bolt kukimbia speed hvo sio kitu kidogo ni kutoboka ubongo
  7. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Reincarnation...nazidi kupata uhakika binadamu hatufi

    Dhana ya ukifa hauendi popote ni uongo kwakuwa 'wewe' haupo. 'Wewe' ni kitu ambacho kipo sasaivi tu. Hata usipokufa lakini baadae hiyo unayoiita 'mimi' saivi haitakuwepo. 'Wewe' ni kitu ambacho kipo kwenye wakati uliopo basi. Hivo kusema hiyo wewe kuna sehemu itaenda au haitaenda ukifa ni kosa...
  8. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

    Thats what they all say
  9. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Masanobu Sato

    Kwann
  10. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Masanobu Sato

    HAhahah shule gan iyo?
  11. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bibi akosoa Utawala wa sasa: Mtawala anaendesha nchi kwa vijembe na maneno ya kwenye Kanga. Vijembe havimpaswi mtawala

    Wakimteka....wote tunatoka mpaka tushikilie moyo wa samuya
  12. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Masanobu Sato

    Unaambiwa huyu mjapan ndo anashikilia rekodi ya kupiga puli kwa muda mrefu. Akivunja rekodi iliyokuwepo ya masaa 9 na dakika 33 kwa kuweka rekodi yake mpya ya masaa 9 na dakika 58. Rekodi iliyokuwepo ilikuwa inashikiliwa na Masanobu Sato. Yeye mwenyewe. Unaambiwa #Ni yeye. Masanobu sato for...
  13. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya biashara Tanzania ni kwa ajili ya kuziua biashara na sio kuzikuza

    Hii ni shithole country, yan tupo kwenye shimo.la.mkund
  14. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Wewe so chochote kwenye hii dunia

    No freaking CAP detected
Back
Top Bottom