hivi wewe na umri wako bado unaaamini anything the Govt tells you?
come on
jiulize kwa nini CAG aliandaa ripoti 3 tofauti na nani kapewa ripoti ipi na kwa nini?
you are asking the wrong question
the right question should be je hao wanachama wako kwenye category ipi kati ya hizi:
1. WENYE NCHI
2. WALA NCHI
3. WANA NCHI
ukishajua jibu la hilo then kila mmoja atajua hatma yake.
wana JF wako bize na mipasho ya akina CCM vs CHADEMA
kuna mtu wa kufikiria beyond petty politics za Mwigilu, Lema, Lwakatare na Youtube videos?
Ukumbi mmepewa lakini mko bize kujadiliana na nani ana watu wengi zaidi kwenye mikutano ya hadhara
As other countries in East Africa stick on nominating bloated cabinets (mawaziri na manaibu 40 hadi 70), and mostly re-cycled materials; President Uhuru Kenyatta and his deputy William Ruto have today unveiled twelve more cabinet secretaries nominees to bring the number to sixteen out of...
Je mnajua kuwa kulikuwa na versions 3 za CAG reports ambazo zote zimefichwa from the public?
Yes Ludovick Utouh either kwa kuambiwa au kwa kusudi ameamua kuwa wasiweke ile ripoti ya mahesabu ya PSPF wazi japo ni pesa za pensheni zinazolipwa na idara zote za serikali.
Sasa policy makers na REAL...
Hivi mmesoma gazeti la leo ambalo limetoa tuhuma kuwa vurugu za kule Mtwara zinachochewa na mashirika ya kijasusi ya CIA na MI6
Hii imenifanya nikumbuke thread hii :
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152989-symbion-power-intelligence-watupu.html
Inamaana ile ARAB SPRING...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.