Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Hii ndio maana halisi ya usalama wa taifa..Director wa TISS na especially Mkuu wa kitengo cha economic espionage haya ndio mambo wangehitajika kuyafanya......kuwekeza hisa kwenye makampuni yote ambayo kimkakati yanaadhri usalama wa taifa ie secta ya nishati ....ndicho wafanyachoo CIA.
Ukiacha miradi nichache ambayo Mwalimu aliwafungulia TISS...kama motel Afrique,Seventy seven etc ,...na baadhi ya hotel au nyumba zilizo nje ya nchi kwa ajili ya TISS....tunahitaji kuwa na miradi mikubwa na ya kimkakati ...miaka ya karibuni Seventy seven walitaka kugawia Impala hotel ...Mzee mkapa Baada ya kushauriana na wakongwe wa TISS akabatilisha.."...JK amekuja Anampa rafik yake ....au mwanahisa mwenzake .....hatujui Kama Idara itabaki na hisa hapo au ndio wameporwa hotel Yao ..