LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,234
- 883
Kama ni kuzibua vyoo, kusafisha vyoo, kujenga vyoo njooni nyie wenye "vision" za Ughaibuni mtekeleze siyo kulialia tu bila mpango. Mlivyoondoka JKNA wala hamkuwa na muda wa kulalamika kwa azma yenu ilivyikuwa kubwa ya kukwea pipa na "kuukata". Sasa mmekaa Ughaibuni mwaka mmoja au sijui miezi mingapi, kelele kibao sababu kasumba zimewajaa. Halafu utakuta wengi wenu huko Ughaibuni si zaidi wala so chochote bali ni wasafisha vyoo tuu. Sasa mkirudi vijijini kwenu sijui mtamlalamikia nani kuhusu uvundo wa vyoo vya mashimo?
You sound like an individual who has lost the hope of life, a person who failed by your moral judgement and attitudes, tunazungumzia maendeleo ya nchi unakuja na habari yenye chuki ambayo i suppose you even don't deserve to be called a great thinker to me! sorry! yarkk!