Recent content by the big mayai

  1. T

    Ngara: Kwanini afisa elimu unawang'ang'ania walimu wakuu wa certificate

    Hao ni zaidi ya wataalam!....inatosha kusema.
  2. T

    Leo IKULU Bashe kaanza vizuri japo kakosea

    ...Mkulima hohehahe, anayepata tani 2 mpaka 3 kwa mwaka atanufaikaje na mnyororo wa thamani?....anawezaje kununua mashine za kusagia na vifungashio kwa ajili ya package?....mkulima always hanufaiki na jasho lake labda madalali. Labda uwekwe utaratibu ambao utamgusa mkulima hata mwenye gunia...
  3. T

    Unapovaa suti, epuka kufanya mambo 26 yafuatayo

    Yote mema, ila mbaya zaidi ni kunyuka suti bila kufahamu unakula nini...! Halafu ogopa sana wavaa suti, wengine unadhifu wa nje, sio hadi nguo za ndani....uvundo uvundo!
  4. T

    Maumbile yake ni makubwa

    Kama kuna dhambi, wapenzi wanabebeshana basi ni ya ukubwa wa maumbile nowdays. Utakuta mwanaume mathalani, akipiga kimoja na hajamfikisha basi, mwanamke anapanda hasira na kufanya personal attack. Anamchukia mumewe utafikiri yeye ana miujiza ya kujicreate na kuwa bora kila idara. Jamani...
  5. T

    Jamaa kampa mimba Mama Mkwe,

    Hahaha ukinaswa vilivyo hata miguu hautorusha......kwa hiyo simlaumu jamaa, ila kumbukeni kuna raha pia, kuendesha, 'semi' tela, kulikoni 'viaisitii'. Kusikilizia mlio wa gari kubwa likichanachana kitonga, si mchezo.
  6. T

    Nilichoamua ni kuwa sitaoa mwanamke ambaye hana division I kwenye vyeti vyake!!

    ....unataka usomi ukupatie yote hayo? Hivi kama divisheni/elimu ndio kipimo cha akili kwa mtoto ajaye au mama au baba, unafikiri walioana kabla ya elimu hizi za wazungu(kabla ya ujio wa ukoloni) hawakuzaa watoto wenye akili? Binafsi mwanamke siangalii vyeti. Sitakuja kufanya hivyo hata awe T.o...
  7. T

    Nilichoamua ni kuwa sitaoa mwanamke ambaye hana division I kwenye vyeti vyake!!

    ....unataka usomi ukupatie yote hayo? Hivi kama divisheni/elimu ndio kipimo cha akili kwa mtoto ajaye au mama au baba, unafikiri walioana kabla ya elimu hizi za wazungu(kabla ya ujio wa ukoloni) hawakuzaa watoto wenye akili? Binafsi mwanamke siangalii vyeti. Sitakuja kufanya hivyo hata awe T.o...
  8. T

    Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

    Umeandika mithili ya mshambuliaji wa football, anayewaza kushangilia badala ya kufunga. Matokeo yake hafungi, na hatoshangilia. Mie si mwenyeji wa mbeya, lakini naifahamu mbeya, Arusha, dar, na mwanza. Je, haya yanastahili kuwa majiji, ukilinganisha na paris?....siku Dodoma ikiwa jiji uje...
  9. T

    Ingekuwa amri yangu kusingekuwa na uchaguzi Tanzania

    Inawezekana mtoa mada akawa ni kijana, lakini cha ajabu bibi yangu kule mbangamao, ingawa ni kikongwe analilia Uchaguzi.
  10. T

    Je, hii ndio mbinu mpya ya wanawake kujitongozesha?

    Hukumuelewa?....si vyema kumuona mbaya mwenzako. Yawezekana alizimika na flag lako.
  11. T

    Kuondoka kwa Dr Slaa kwenye Medani za Siasa Nchini tunaona Ombwe kubwa Upinzani

    ...sijaelewa mantiki yako ewe mtoa mada. Unasema wapinzani wamekuwa watu wa mipasho? Hivi unawatambua waasisi wa mipasho mathalani huko bungeni?.....ni kweli Dr slaa alifanya vyema wakati wake. Ila slaa asivae joho la image ya upinzani. Upinzani uko mioyoni mwa watu....hivi ikotokea Dr slaa...
  12. T

    Tafiti

    Sisi wenye 'vidali' badala ya vifua leo tumetiwa moyo.
  13. T

    Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

    ....huyo kaka, naye alihisi amezama dimbwini na ndio maana hakuwa na mzuka. Sema yeye anajiheshimu na ndio maana hajafika kuandika huku. Hahahaha!
  14. T

    Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

    Hahahahah! Huyo aliyepata gunia 40, yawezekana alilima ekari 40. Kilimo bwana mathalani, cha ufuta usishtuke na uwingi wa mazao, uliza na gharama za uendeshaji. Heri yao wachina wanaoendesha kamari za bonanza. Wao wanajichukulia pesa kirahisi. Wao mambo ya hali ya hewa, eti mvua imekuwa nyngi au...
Back
Top Bottom