Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

mwanza

JF-Expert Member
May 7, 2009
761
500
Ufuta umeufanya my bro family iachane na maisha ya Dar na kutumia muda wao mwingi kijijini! My sister, ambae maisha yake yote yupo town, analazimika kubaki Dar kwa sababu tu na mwanae wa mwisho bado yupo Form IV vinginevyo angekuwa kesharudi kijijini! Kuna ndugu yangu mmoja, ah Mungu Mkubwa kwa kweli! Alikuwa na maisha dhalili hadi ilikuwa inatia uchungu! Siku hizi sasa, akipiga simu (zamani ilikuwa lazima nipige mimi), utamsikia, "Kaka njoo utusaidie kuvuna ufuta bhana!" Ananitega huyu binti, yaani Ibilis wa kukupa totoz ana afadhali!

To be honest, kwa vijana wasio na issue za kueleweka town ni kupoteza muda tu kuendelea kung'ang'ania kuwa dar! Ni vile tu maisha yangu yanategemea Internet kwa 100% na kwa bahati mbaya, ingawaje Bush kwetu huduma karibu zote zipo including umeme, lakini Internet imekuwa ni bonge la changamoto! Vinginevyo, lazima ningekuwa na makazi ya muda bush kwetu na kwa sasa nimeshaanza kutafuta kiwanja cha kujenga!!
Nikitaka kuanza hiki kilimo nini kinatakiwa
 

tchaot

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
256
500
Bei ulzoandka kwa gunia kijijini znaweza kuwa hadi nusu ya hyo bei au chin ya hapo inategemea na msimu,ama pia hufka hapo zikiwa bei za juu kabsa kwa jumla kwenye masoko makubwa ya mijini kama k/koo, wafanya biashara wazoefu hawakurupuki na bei hufanya utafiti maana bei hzo znaweza kutaka kabisa mtaji wa mtu

Ufuta huwa hauna mambo meng sana kwan maeno mengi mbolea si lazima, ufuta mweupe hutoa bei nzur inaegemea na mnunuzi, waweza pata hasara shamba mvua ikzid yweza kuangusha maua kama bado hayajafunga hvyo kupungua mavuno, au wenyewe kukauka kwa maji mengi, na unastahimili sana ukame.

Tanzania wastawi walimwa nyanda za juu kusini mikoa ya Ruvuma, Mbeya, Rukwa, (Mpanda) kanda ya kati Dodoma, Wilaya karbu zote za mkoa wa Morogoro, huko njia ya kusini anzia kibiti, Malza kusini yote , panda hadi Nambengo ya Ruvuma utaukuta

Waweza stawi mkoa wowote hapa Tanzania, kikubwa tu hali ya hewa ya wilaya husika miaka michache ilyopita nakumbuka uliitwa jina la utani Dhahabu ya Shambani, umewatoa watu wengi sana

Cheza kwa step ufuta pia waweza kukufuta

Tchao Muuza Nyanya, Kijijini Doma
 

the big mayai

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
231
500
Hahahahah! Huyo aliyepata gunia 40, yawezekana alilima ekari 40. Kilimo bwana mathalani, cha ufuta usishtuke na uwingi wa mazao, uliza na gharama za uendeshaji. Heri yao wachina wanaoendesha kamari za bonanza. Wao wanajichukulia pesa kirahisi. Wao mambo ya hali ya hewa, eti mvua imekuwa nyngi au ndogo haiwahusu. Wao muda wote wanalamba sarafu. Kilimo ni changamoto,uzuri wake tunakifanya.
 
Top Bottom