Recent content by the big header

  1. T

    Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

    hajawekwa kiganjani ni kwamba kuwa decent ndo tatizo kwake na inaonekana hajajua bado jinsi ya kutumia uanaume wake kwa wanawake interms of making decision.... ushaur wangu ni kwamba inatakiwa uwe harsh ktk vtu vya kipuuz na ambavyo huvifurahii na inatakiwa ufanye maamuz magumu ikiwezekana...
  2. T

    Tupia imani ya kale uliyowahi kusikia

    Ebwana mkuu umenikumbusha mbali sana.. Unajua nlikua nafatilia hiz iman ambazo tunaziita za zaman kwa muda kidogo na nikagundua wazee wetu wa zaman walikua na uwezo mkubwa wa kufkiri na walikua watu siasa nzur kwa kias chake ukiangalia misemo hii ming ina maana ya kumkataza kijana ktu flan...
  3. T

    Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

    We kahinda rejea kichwa cha habar cha hii thread inahusu nini sio unaongea tu bila kuelewa umesoma nin kama angeandika kuhusu vedasto angeandika makala yake, hakuna ajenda ya siri hapo ni matatizo yako binafsi ya kutafsiri mambo knyume na kwa mtazamo huo mambo mengi utayatafsiri kinyume na...
  4. T

    Islam teachings has nothing to do with terrorism

    Hv nyinyi mnaojiita wakristo mnaakili dhaifu hamfatilii mambo akishasema mchungaj wenu bas mnayabeba hvyo hvyo nimeamin kwel mapreaches wanakupandikizien chuki na uhasama juu ya uislam na waislam na kukufichen ukwel juu ya uislam soma link hii ntayoitoa ndo utajua ukristo walipigana vp miaka...
  5. T

    Islam teachings has nothing to do with terrorism

    Nakusikitikia kwa kutokua mdadisi na kuyachukulia mambo juu juu bila kufanyia utafiti wa kutosha... Nini maana ya uislam? Uislam una maana mbili ya kwanza: amani...
  6. T

    Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Wanajamii changieni mnayoyajua kuhusu ukwel wa uwepo wa hawa viumbe (nguva- nusu binadam nusu samaki).. Na ifuatayo ni research ndogo nliyoifanya kuhusu hawa viumbe. The National...
  7. T

    Nammna ya Kuficha documents bila kutumia Software

    Natumia windows 7 professional.. Ndio nakumbuka lilipokuwa
  8. T

    Nammna ya Kuficha documents bila kutumia Software

    Nimefanya kama ulivyoelekeza mkuu jinsi ya kuliona folder lkn ktk laptop yangu imegoma kuonekana hlo file nlilo li-hide nifanyaje ili nlione tena?
  9. T

    waungwana nielekezen jins ya kuifanya Black berry messanger(BBM) itumie bundle ya kawaida?

    waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..
Back
Top Bottom