Ni rahisi kuficha na kufichua mafiles yako kwenye PC bila kutumia software ya aina yoyote. Tutatumia Command Prompt, Mfano una folder liko drive D lina videos ambazo hutaki mtu mwingine azione,
(a)Fuata step hizi kuficha:
1.Bonyeza Window button na herufi R, window mpya itafunguka na utatype cmd na kubonyeza enter
2. Command Prompt itafunguka na utatype attrib +s +h D:\Videos" Utaona folder hilo halipo.
Soma zaidi hapa