waungwana nielekezen jins ya kuifanya Black berry messanger(BBM) itumie bundle ya kawaida? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waungwana nielekezen jins ya kuifanya Black berry messanger(BBM) itumie bundle ya kawaida?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by the big header, Jul 11, 2012.

 1. t

  the big header Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waungwana... kulipia huduma ya internet ktk bb kwa sisi wengine ni mtihan so kama kuna muungwana anaejua jins ya kuifanya itumie internet km cmu nyingine nielekezen..
   
 2. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo utasubiri sana, the only way ni kulipia bis

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  No way
  Kuna watu wamejaribu ku hack lakini haijaleta matokeo mazuri
   
 4. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Nakushauri iuze tu kama malipo yake huyamudu, welcome to analog phones mkuu
   
 5. The Tan-talizer

  The Tan-talizer Senior Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hahahaa daah hapo utasubiri saana mkuu hamnaga other ways RIM hapo kazi walioifanya hakuna anayeingiza mguu
   
 6. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  RIM BBM wameiprotect ile mbaya,ata mamlaka za mawasiliano za nchi mbalimbali wamesalimu amri kuhack,mwaka juzi Eltsalat walitengeneza software ya kuhack chart za BBM waliambulia za uso mbaya! Nnakushauri wewe jiunge na BIS tu Voda wameshusha sasa ni 20 elfu kwa mwezi kuhack sahau
   
 7. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Acheni kutisha wenzenu mimi natumia 2500 kwa mwezi

  blackberry 9300
   
 8. e

  elank54 JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Io 2500 ako BBM unatumia??? Jibu ni HAPANA!! Na una2mia browser ya kawaida Unless u good in restarting it evtym 4 using othr apps lyk opera
   
 9. t

  the big header Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umewezaje mkuu? nipe maujuzi
   
 10. The Tan-talizer

  The Tan-talizer Senior Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  jamaa anabisha tuu ila 2500 hapo ni browsing tuu na some app ila upande wa BBM hakuna mtu ameweza hack narudia msemo wangu wa kwanza:wacko:
   
 11. G

  Ginner JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  mimi natumia bold 9700.....sijawahi kuthubutu kujiunga na BIS ila browser yaangu ya simu ilikuwa inafungua net kama kawaida na nilikuwa na download applications na zinafanya kama kawaida
   
Loading...