Wale wote mliotoa ramli ambazo hazikutimia. Nawaomba kwa hiari yenu bila shuruti mlete tunguri zenu hapa jukwaani tuziteketeze mbele ya halaiki.
Kisha mtakula viapo vya kutojihusisha na ramli za aina yoyote tena.
Mkuu ulituangusha wanajeshi wa mpakani.
Mimi walinibembeleza wanishikisha hizo cards, nikashinda vocha ya buku 8 wakaniambia niwape simu waniwekee nikawapa.
Badae nikashinda redio bas wakasema nichangie hako ka percentage, nikasema sina hela, wakanishawishi nikagoma, wakasema nilipe fine ndo...
Asee mimi na cayafas tulikuja kukaza tukatoboa hadi siku tunafuata vyeti tulipikiwa ubwabwa na mi soda, tukapewa mahali pa kulala na kama hiyo haitoshi asubuhi tukaombwa kuhutubia wanafunzi parade.
I wish ungesikia vile nilihubiri ambacho sikutenda.
Nakumbuka A-level mi na mwanangu cayafas tulikuwa hatupigi msuli na kuingia darasani ilikuwa kwa makando makando
Muda wetu mwingi tulikuwa bwenini tunapiga stori, kucheza draft nk, sometimes tulikuwa tunashinda kijijini.
Ilifika time mwalimu wa darasa alinikana kuwa mimi sio mwanafunzi wake...
Mkuu unaposema dominance ambayo hata fergie alishindwa cjaelewa ipo katka misingi ipi, kwa sababu man city epl kachukua mara mbili mfulurizo ila fergie alisha chukua mara tatu mfulurizo twice.
Sasa cijaelewa mbili inakuwaje dominance afu tatu isiwe.
Ole anadai anataka watu walioelekeza moyo utd, sasa sijui hili zee analotaka kuchukua for about 50 m, moyo wake upo utd?. Kama cio kuja kuwa kma chamacky kusubir magoli ya vichwa, coz hata kudribble halijui.
Af huyu ed n mpumbav mmoja hiv asiejua mpira anachojua yeye n pesa tu. Anachukulia ile...
The lion does not concern itself with the opinion of the sheeps "Cersei lannister"
If people ask you tell them the north remembers, tell them winter came for house frey "Arya stark"
The man who passes the sentence should be the one to swing the sword "Ned stark"
Zero bet huwa inatumika wakat mechi inaendelea eg mechi ikiwa may be dkk 50 na matokeo ni 1-0 unafuta yale matokeo unatabir mshind n yupi or sare. Eg ukitabir zero bet 1 mean huyo anaeongoza afunge goli jingine na mechi iishe ameshinda .
Zero bet 2 wa away achomoe na mechi iishe 1-1 au mwenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.