Recent content by The activist

  1. The activist

    Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

    Ni kweli Cheki account za ITV walikua wanamuhoji mkurugenzi wa NACTE akitangaza kufunguliwa kwa udahili. Wiki kadhaa nyuma nilikutaarifu ila naona bado hauamini.
  2. The activist

    Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

    Umeipata taarifa ya NACTE iliyotolewa Leo kufungua dirisha la udahili? Kama bado udahili unaanza leo June 15 hadi Septemba 15 Mwaka 2020. Kazi kwako pamoja na wale wote ambao walikua wakisubiria taarifa hii.
  3. The activist

    Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

    Yes, taarifa waliotoa baada ya kuruhusu vyuo kufunguliwa ndo imeelekeza hivyo. Kuanzia June 15 maombi yanaanza kupokelewa.
  4. The activist

    Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

    Nina uhakika na ninachosema June 15 udahili unaanza, Kama hauamini piga simu NACTE kuulizia.
  5. The activist

    Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

    June 15 dirisha linafunguliwa, kuwa tayari.
  6. The activist

    Nina mpango wa kuanzisha Chuo cha Kutoa Diploma. Natafuta mtaalam wa kunishauri vizuri

    Mkuu ulifanikisha hili wazo lako? Kama bado, pamoja na wengine nawakaribisha sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. The activist

    Nitamsahau vipi X wangu?

    Jipe muda, usiwe na haraka utapata tu suluhisho. Kadri muda unavyoenda, utaona muelekeo wa X wako ukoje. Usijifungie kisa maumivu, kabili kila linalokuja mbele yako. Usisahau kumuomba Mwenyezi MUNGU atakuonyesha njia. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. The activist

    Msaada wa orodha ya Vyuo vya afya venye kozi ya clinical medicine kwa ngazi ya cheti vya binafsi vilivyowazi

    Kuna chuo kiko Nzega Tabora kinaitwa Tabora Institute ni kizuri na kinatoa kozi za afya. Wapigie 07644 107777.
  9. The activist

    Lissu: Hali ya kisiasa nchini ni mbaya sana

    Yote unayo yaamini lazima uyashuhudie kwa macho yako? Elimu yako inanipa shaka sana strive, seek & Find
  10. The activist

    Kuhusu Diploma clincical medicine

    Mbona umefanya vizuri dogo? Nenda advance komaa ufaulu vyema ukapige MD Muhimbili upate deals za kutosha... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. The activist

    Ibilisi wa ngono safarini..

    Kwa muwasilisho huu Hii stori ni ya kwako 100% Tunasubiria kilichofuata baada ya kuchukua tax na kuelekea kunako stahili... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. The activist

    Msaada: Simu yangu haipokei calls

    Ndugu wana bodi! Toka jana asubuhi simu yangu haina ya tecno C-9 Hairuhusu simu kuingia. Anayenipigia anasikia inaita kidogo kisha namba inatumika. Tatizo hili liko kwa laini zote mbili ( Vodacom na Halotel) nimeripoti huduma kwa mteja wamenipa maelekezo ambayo hadi sasa hayajanisaidia. Ndugu...
  13. The activist

    Hivi wanaume mna-deal vipi na wadada ambao wanasema wanakuja halafu hawaji?

    Mkuu una moyo mwepesi sana. Kama ndivyo ulivyo basi hautafanikiwa kwenye ulimwengu huu..... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom