Hivi wanaume mna-deal vipi na wadada ambao wanasema wanakuja halafu hawaji?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,629
Hello guys

I hope wanaume wengi ishawatokeaga hii, utakuta umemtongoza demu hlf akakupa namba mkakubaliana mkutane sehemu flani (maybe ghetto au kwenye mgahawa), muda wa kukutana unafika demu hatokei, sana sana atakupa sababu zilizomfanya asifike. Wanaume mshawahi gegeda wadada wa aina hii? Wadada kwanini mnafanya hivyo?

MY REAL STORY:
Nlikutana na mdada mmoja nikammendea nkamwomba namba akanipa, tukachat vizuri, cku hiyo hiyo nilimtongoza akasema atanipa jibu, lkn kwa interaction yake demu alionesha kama amenikubali coz hakunipiga mzinga (hakuniomba hela) alinipigia simu na kuniuliza maswali kadhaa kwenye text, k.v umeshakula, ushakuwa kwenye relationship etc.. na text alikuwa anajibu haraka. Pia siku ya pili yake baada ya kumtongoza, aliponiona alini-text kuniuliza naenda wapi nikamwambia njoo nje akaja tukapiga story, then tukakubaliana kukutana kesho yake.

KILICHONIBOA:
Siku ya 3 baada ya mm kumtongoza ikafika, kwa vile aliniahidi kuwa atakuja ghetto, nikapanga ndom zangu kwa ajili ya mgegedo, nkajisemea leo ulimwengu mzima utajua kuwa mm nina gombo, subiri hadi muda wa jioni khaa kwani MTU alikuja, kumuuliza vipi anasema eti anafanya usafi, nkasema maybe ana uoga wa kuja, mwanaume nikajongea karibu na kwao nikamtext nikamwambia Niko nje ya nyumbani kwao alichonijibu nilitafsiri kama ni dharau ya hali ya juu sana, alisema "Nataka nioge niende mtaa flani maybe baadae" nkaona yani kwenda huko anaona ni muhimu kuliko kuonana na mm, wakati mm nko nje kwao nimekuja kumtembelea..nlikasirika sana nilitamani nimtukane tusi ambalo hajawahi tukanwa mtu tangu kuumbwa kwa ulimwengu, ila nkajizuia na kukaa kimya, na demu akakaa kimya cku ikapita. kesho yake nikamwambia mazoea yaishe, na tusijuane tena, na namba yake ya simu nikafuta.

HITIMISHO:
Kwa kifupi nlimtongoza leo nikaachana nae kesho kutwa (kufahamiana kwetu kulidumu siku tatu tu). Huenda nikawa nimekosa potential papuchi ila kudharauliwa sitaki.
 
Mkuu umekosea sana, mademu wa kizazi cha Instagram ndio wako hivyo ungesubiri umgegede kwanza

Sent from using Tapatalk
 
Ulikua faster mnoo kufanya hayo maamuzi, kwanini haukumpa mda wako kumsoma. Ungepanga siku nyingine uone kama atafanya hivyo hivyo au atakuja.
 
Umefanya kitu kibaya kumtukana na kumwambia yaishe huwa wanakupima tu shida yako nn hasa mi nlikutana na wa hivyo tena aliniambia nimfuate kwao nimefika nje kwao akagoma kutoka et amechoka sana hataweza kuja nlichofanya nkimwambia pole na usiku mwema baada ya hapo tukaendelea kuchati tu kama wapenzi kawaida sikumwambia tena tukutane au aje nliendelea kuongea naye kawaida siku ya kwanza tu ikapita siku ya pili akaniambia mwenyewe aje au nkamjibu ukiona powa njoo tu ni maamuzi yako mbona yy ndo alikuwa akinisumbua badala ya mm na tokea hapo mipango yakukutana anapanga yy sio mm tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Punguza pupa... kukuru na kakara zako zimekuponza...

Kuna wanawake ambao kukupa number ya simu, na mkachat kwa kujiachia kwao ni jambo la kawaida sana...

Ila linapokuja swala la mpaka akuvulie chupi, shughuli yake siyo ndogo...

Cc: mahondaw
 
Mzee watu kama hao utakiwi kuachana nao, akikuzingua hivyo unatakiwa kwenda kutafuta mwingine wakumuwashia moto halafu uyo utaendelea nae kesho.

Jamaa alikuwa na haraka, wa hivyo ni yule anayekuomba pesa haraka, na wewe inabidi utume maombi haraka iwe mkono kwa mkono.

Huyu ambaye hajaomba chochote unaenda naye mdomdo.
 
Moja kati ya tatizo sugu sana hili. Kwamba unapangana na mtu aje kwako halafu yeye jiii. Maumuvu unayopata pale. Wakuu wadada wakikuahidi kuwa "nakuja" Jipe asilimia 80 kuwa ni kinyume chake. Usiweke tamaa ukajiumiza roho bureeeee.
 
Back
Top Bottom