scientist 08
Member
- Aug 8, 2017
- 66
- 40
Hakika hakuna course nzuri ya afya ambayo unaweza kuilinganisha na Medical lab hata siku moja, hao watu ndo wanafurahia maishaDogo Chukua Huu Ushauri Hutojutia!
Hakika hakuna course nzuri ya afya ambayo unaweza kuilinganisha na Medical lab hata siku moja, hao watu ndo wanafurahia maishaDogo Chukua Huu Ushauri Hutojutia!
Hakika hakuna course nzuri ya afya ambayo unaweza kuilinganisha na Medical lab hata siku moja, hao watu ndo wanafurahia maisha
sio wote wengi wamepauka sana ukizingatia fursa nyingi zisizo na mipaka ziko kwa Nurses and clinicians. ![]()
![]()
![]()
sio wote wengi wamepauka sana ukizingatia fursa nyingi zisizo na mipaka ziko kwa Nurses and clinicians.
Lab tech kukaa kituoni mwaka mzima bila hata meeting ni kawaida Sana.
Bora ungeshauri Dental na Optometry pia zina future nzuri kuliko hiyo Lab ambayo umemkomalia.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umefanya vizuri dogo?Form four nilipata
Bios- A
Phy - C
Chem - B
Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
![]()
![]()
![]()
sio wote wengi wamepauka sana ukizingatia fursa nyingi zisizo na mipaka ziko kwa Nurses and clinicians.
Lab tech kukaa kituoni mwaka mzima bila hata meeting ni kawaida Sana.
Bora ungeshauri Dental na Optometry pia zina future nzuri kuliko hiyo Lab ambayo umemkomalia.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu omba Masasi,Lindi na Mafinga hivyo vyuo havina sana ushindani ila vizuri utapataForm four nilipata
Bios- A
Phy - C
Chem - B
Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
Au angeenda hata Dental itapendezaUmemshauri kitu kizuri maana kila mtu anakimbilia CO wanaisahau maabara kisa haina jina kubwa midomoni mwa watu ila laiti wangelikuwa wanaielewa basi wangebadilisha mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mkuu nikutonye kwa sasa kozi yenye mpunga ni hiyo Radiology haina wahitimu kabisa hiyo...ukisoma utapata tabu kidogo ila ajira utapata utakula sana maishaUtapata.
Ila kwenye Kuomba, hatuishii kuomba Chuo kimoja tu. Lazima uombe Vyuo vingi ili Majibu yakitoka, uwe na uwanja mpana wa kuchagua unapotaka kwenda.
Kuna Bugando, Muhimbili, KCMC, Kuna Vyuo vya Serikali. Vyote hivi vinatoa Kozi za Afya.
NB;
Kozi za Afya nazo ziko nyingi, unaweza kuzipitia na kuona unayoipenda.
Kuna DIPLOMA YA MEDICINE
RADIOLOGY
MEDICAL LABORATORY
PHARMACY
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mipaka unayozungumzia wewe ni ipi??? Hebu fafanua kidogo.![]()
![]()
![]()
sio wote wengi wamepauka sana ukizingatia fursa nyingi zisizo na mipaka ziko kwa Nurses and clinicians.
Lab tech kukaa kituoni mwaka mzima bila hata meeting ni kawaida Sana.
Bora ungeshauri Dental na Optometry pia zina future nzuri kuliko hiyo Lab ambayo umemkomalia.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa sababu.Ukitaka kuenjoy life piga Medical Lab utaleta mrejesho hapa hapa jukwaani.