Msaada: Simu yangu haipokei calls

The activist

Senior Member
Aug 9, 2014
113
67
Ndugu wana bodi!
Toka jana asubuhi simu yangu haina ya tecno C-9 Hairuhusu simu kuingia. Anayenipigia anasikia inaita kidogo kisha namba inatumika. Tatizo hili liko kwa laini zote mbili ( Vodacom na Halotel) nimeripoti huduma kwa mteja wamenipa maelekezo ambayo hadi sasa hayajanisaidia.
Ndugu great thinkers, nisaidie toka Jana hamna simu yoyote inayoingia..
SMS, nikipiga Mimi na huduma zingine za intanet zote ziko vizuri.
Nawasilisha. ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuweka line kweye simu nyingine ikikubali kupokea simu , basi reset hiyo simu yako.
 
Back
Top Bottom