Recent content by ThatMan

  1. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na utalii inapitia wakati mgumu. Tuiombee Trump asiendelee kuchochea vita

    Sijawahi fika zanzibar ndio nataka kufika, nazipataje hostel hizo maana kwenye mtandao kila nikitafuta sipati
  2. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na utalii inapitia wakati mgumu. Tuiombee Trump asiendelee kuchochea vita

    Nawezaje kupata low budget hostel zanzibar, nifanye booking nikiwa bara
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi wakuu, anayeweza kazi vizuri

    Ninao mafundi, kuanzia chini mpaka unamaliza, tunajenga nyumba ya kawaida pia ghorofa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Viumbe hao ila hii dunia hii , tufanye mema sana na kuwa waja wema tu ila iko na wenyewe
  5. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nimebaki njia panda zaidi, Nataka jinsi ya kuweza wasiliana nao kwanza ili nijue lipi hasa lengo lao
  6. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mapatano nayo nafanya nao vipi na sijui jinsi ya kuwasiliana nao, zaidi ya ishara tu kwenye mwili ambazo sijui maana zake
  7. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hivi Kwann usipowatambua hawa majin wanakupa mitihani na kukuzibia kipato ata mipango yako, Mfano ni mimi nateseka na maisha kisa hawa , na nikiuliza kwa watu wananiambia hawa makini wanataka niwatambue na mimi sijui ata pa kuanzia kuwajua wala kuongea nao
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

    Vipi watu mmeshaitwa training ya TRA
  9. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Tafadhar nielekeze dua za kuomba, za kupata iliyo halal
  10. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mkuu wala sijamaanisha mipasho wala sina kusudi hilo, pole ni kuwa nahurumia nafsi yangu na kukupa pole kwa kutaka kukupa mzigo ni hilo tu, samahani kama nimekukwaza
  11. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Nafahamu kwa nini nakupa pole
  12. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Asante na pole
  13. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Wanadai na viumbe visivyoonekana, ukipata kazi haikai, kunatokea fitna mtu unamaliza elimu mwaka wa saba hakuna ujira, kila ukiomba nafasi hakuna ukifanya biashara ata ndogo unakosa hela ya kula, Mungu akuongoze katika hili jambo uone jinsi utanitoa kifungoni
  14. T

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Arsis kupitia simba naomba unijuze, kupata kipato imekuwa shida sana, ila masheikh wanasema natakiwa kusali sana maana hakuna anayeweza nisaidia zaidi Mungu na mimi mwenyewe kwa kuswali sana , maana nina vita kubwa
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Kimepita pia morogoro hapa
Back
Top Bottom