Hawana utu na utashi kwa kuwaelimisha wa Tz kwani wao si wananafasi tayari na watoto wao wanasoma wapendako. Ila yana mwisho wake hayo. Walimu wapo mtaani na kunashule hazina walimu. Nenda Mpanda ndogo, Namanyere, Mwese, Kasulu, Muleba, Ngara, Geita, Buziku, Butundwe, N'nkome, Magu, Shirati...